Ukiwa na Architect aliyehusika kukuchorea ramani yako atakuongoza kuanzia hatua ya kwana hadi mwisho jinsi ya kupata kibali chako cha ujenzi.Ushauri tu penda kutumia wataaramu husika kwenye kitu husika.inasaidia sana kupata matokeo chanya kwenye kitu unachokifanya.
Shukran sana, nitalifanyia kazi hilo la jirani. Maana nina kama kamlima kidoogo..Kila kitu kinawezekana, kwa ushauri mwepesi sema na jirani yako aliyekwisha Jenga na muulize kuhusu fundi aliyemjengea na gharama zake ukishazipata ongea na fundi kirefu na asiwe huyo tu tafuta na mafundi wengine hata wanne utakayoyapata kwao utajua pa kuanzia na ikiwa kiwanja ni tambarale basi utatumia gharama nafuu zaidi, ila hiyo mitaa ni vizuri sana fundi kukuwekea kitako chini kabla ya kujenga tofali na kufunga mkanda ikiwezekana hata nguzo fup za msingi kwa kila kona!
kwa kuanzia weka msingi kwanza theni awamu ya pili unakimbiza mpaka kwa madirisha ukija ya tatu unaenda mpaka lenta theni unavuta pumzi ya kupaua!
Maeneo hayo ni vizuri kuweka msingi imara ili nyumba isije weka ufa badaye, maswala ya vibali sijuh nini usiangaike nayo, ila kikubwa tafuta ramani!Shukran sana, nitalifanyia kazi hilo la jirani. Maana nina kama kamlima kidoogo..
Kabisa yaani!
Uko sawa kabisa mkuu.. Na kwa mtu ambae nina safiri sana nje, tiyari nina idea ya nyumba niitakayo hivyo lazima mtaalam ahusike ili kupata kitu bora.Ukiwa na Architect aliyehusika kukuchorea ramani yako atakuongoza kuanzia hatua ya kwana hadi mwisho jinsi ya kupata kibali chako cha ujenzi.Ushauri tu penda kutumia wataaramu husika kwenye kitu husika.inasaidia sana kupata matokeo chanya kwenye kitu unachokifanya.
Habari zenu ndungu zangu,
Ninauwezo wa kuweka akiba ya Laki 4 kila mwezi.
Nina kiwanja changu cha m 27 kwa 20 pale Mbezi ya Kimara.
Maswali yangu ni yafuatayo :
1) Je, naweza kujenga nyumba ya vyumba 4 hapo?
2) Nianzie wapi katika project ya ujenzi wangu? Ninunue kwanza matofali?
Shukran kwa maoni yenu wakuu!
Hicho kibali ni bure?
IUnaweza kujenga lakini itakuchukua miaka kumaliza.
Unaonaje ukitafuta mkopo wenye riba nafuu ili uwe unakatwa kila mwezi walau laki mbili?
Mfano ukiweza kukopa 8-10 M utaweza utaweza kujenga vyumba 2 na sebule ukahamia kisha baadae ukaendelea na ujenzi wa nyumba kubwa au ukaacha matoleo.
]
Unajua kukatishana tamaa wewe jamaaUnaweza kujenga lakini itakuchukua miaka kumaliza.
Unaonaje ukitafuta mkopo wenye riba nafuu ili uwe unakatwa kila mwezi walau laki mbili?
Mfano ukiweza kukopa 8-10 M utaweza utaweza kujenga vyumba 2 na sebule ukahamia kisha baadae ukaendelea na ujenzi wa nyumba kubwa au ukaacha matoleo.
Mkopo utaweza kurejesha kwa miaka 2 n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss samahan kibali huwa sh ngapUsisahau pia kufanya haya kabla ya ujenzi...
-Ramani ya mpango miji.
-Kusaka hati ya kumiliki kiwanja.
-Kibali cha ujenzi.
Ni mambo fulani (siyo ya lazima sanaaa!) yamekaa kipuuzi fulani, yanachosha kuyafikiria, lakini katika zama hizi za kuja kubomolewa bila kulipwa fidia wala kuhurumiwa, yana msingi mkubwa.
Kibali kimejibiwa apaKwa kawaida kila ujenzi mpya unaotaka kujenga kama haupo kwenye kibali cha mwanzo unahitaji uwe na kibali cha ujenzi.Japo kuna watu wanajenga bila kufuata utaratibu.
Kuhusu gharama za kibali za ujenzi huwa zinatofautiana kutokana na halmashauri.Kuna baadhi ya halmashauri wanafanya sh 50000 kwa nyumba za chini.na kuna baadhi ya halmashauri wanachaji kwa square meter haizidi sh 500 kwa square meter moja
Ulikipatajeee??Mi sikuwa na kibali cha ujenzi,yani nilianza kichwa kichwa tu, wakati nimefika katikati wakaibuka hao jamaa wa kibali cha ujenzi...walinizingua sana wakasimamisha ujenzi badae wakanilipisha mpaka na penalty,sina hamu nao kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nae una akili mbovu,kama unajenga kwenye plot hayo aliyisema huyo architect ni lazima ila sio lazima awe yeyeNACHOONA HAPA KUNA WATU HAWAJAJA KUTOA MSAADA ILA WAMESHAIONA FURSA YA BIASHARA WAPUUZI HAWA. ..
Kuna mtoa mkopo na architect humu
Niliwapigia simu hao maafisa ardhi ambapo walinitaka niende mpaka ofisi ya ardhi, huko ndo nilipigwa hiyo faini pamoja na kulipia kibaliulikipatajeee??
Kinalipiwa na inategemeana na gharama ya nyumba.Hicho kibali ni bure?