Labda wanataka ujiongezeWadau wenzangu ninatatizo limekuta mwenye uelewa naomba anisadie nina duka lipo mjini mwanza linafanya biashara ya rejareja, Juzi nimepigiwa simu TRA mwanza kwamba ninadaiwa kodi nikaombwa nitumiwe contor namba maana huwa sepindi vipengere na selikari makodilio niliofanya mwenyewe 03/03/2023 nilikadiliwa 520000 kwa mwaka tena kwa kulia sana sasa cha kushangaza baada kuingiza contro no. inasoma laki na 8 na ushee kwa kila awamu zilizobaki nikashindwa kulipa lak 8 na ushee kwa kila baada ya miezi 3 na
Awamu ya kwanza nimelipa 138250 mpka laki nane ghafla tu nimeenda kuuliza naambiwa wamekadilia kulingana na mauzo ya mwaka jana 73,250,000 ambayo ni mauzo ya sh 203,000 laki 2 na sh elfu 3000 kwa siku najua kuna biashara nyingi hata za mtaan zina haya mauzo ,sasa kwa mauzo ya laki 2 yenye faida 15000-20000 mtu unawezaje kukasiliwa laki 8 wakat faida hapo 20000x30x3=1,800,000/=
Ulipe kodi — 800,000/=
Jaman huu mbona utumwa wa wazi wazi na ukimuambia afsa TRA kwamba si mnataka nifunge biashara anakujibu funga kwan itakayotesa ni familia yangu au yako me mshahara wangu uko pale pale kweli jaman tunaelekea wap
Tafuta namba ya waziri wa fedha tovuti ya Bunge mtumie hayo na jina la huyo ofisa TRAWadau wenzangu ninatatizo limekuta mwenye uelewa naomba anisadie nina duka lipo mjini mwanza linafanya biashara ya rejareja, Juzi nimepigiwa simu TRA mwanza kwamba ninadaiwa kodi nikaombwa nitumiwe contor namba maana huwa sepindi vipengere na selikari makodilio niliofanya mwenyewe 03/03/2023 nilikadiliwa 520000 kwa mwaka tena kwa kulia sana sasa cha kushangaza baada kuingiza contro no. inasoma laki na 8 na ushee kwa kila awamu zilizobaki nikashindwa kulipa lak 8 na ushee kwa kila baada ya miezi 3 na
Awamu ya kwanza nimelipa 138250 mpka laki nane ghafla tu nimeenda kuuliza naambiwa wamekadilia kulingana na mauzo ya mwaka jana 73,250,000 ambayo ni mauzo ya sh 203,000 laki 2 na sh elfu 3000 kwa siku najua kuna biashara nyingi hata za mtaan zina haya mauzo ,sasa kwa mauzo ya laki 2 yenye faida 15000-20000 mtu unawezaje kukasiliwa laki 8 wakat faida hapo 20000x30x3=1,800,000/=
Ulipe kodi — 800,000/=
Jaman huu mbona utumwa wa wazi wazi na ukimuambia afsa TRA kwamba si mnataka nifunge biashara anakujibu funga kwan itakayotesa ni familia yangu au yako me mshahara wangu uko pale pale kweli jaman tunaelekea wap
Ulipaswa ujikadirie wewe mwenyewe kodi halafu ndio upeleke Tra assessment yako ndio uwe unalipia kwa awamu.
Bila kufanya hivyo ndio utawapa wao jukumu la kukukadiria na wanavyopenda hela watakukadiria kiasi kikubwa mpaka ujute.
Nacholelewa mtu anakadiriwa kulingana na mauzo kwa mwaka na huyu ni mwenye mauzo ya chin ya milioni 100 kwa mwaka na mwenye mauzo zaidi ya 100m wao wanalipa kulingana na faida. Ushauri wangu fika ofisi ya TRA ili wakusaidie inawezekana pia ikawa siyo yako hebu fatilia.Tatizo huenda ni elimu, usimkadirie mtu kulingana na mauzo kwa siku, Ila angalia faida yake ndio mgawane na serikali, ukiangalia mauzo unakata mtaji wake.
Acha makasiriko wewe humu ni sehemu ya kupata ushauri au unadhani humu Ni pa kuleta nyuzi za mapenzi???Kuna watu wengine akili mmenyimwa kabisa. Badala ya kwenda ofisini kwao wewe unakuja kuleta uzi JF? Unadhani sisi hapa tutafanya nini? TRA ni watu sio wanyama. Wafuate ofisini kwao mkaongee. JF haitazuia TRA kudai chao.
Unanibishia mimi?Acha makasiriko wewe humu ni sehemu ya kupata ushauri au unadhani humu Ni pa kuleta nyuzi za mapenzi???