mkuu unamiliki nyumba nne, una miliki v8....mkeo umemnunulia rav4.....lakini bado unaumizwa kichwa na mafuta ya subaru kiasi kwamba umekuja kuomba ushauri jf.....!!! Amazing
Mkuu soma post number 183 ya watu8 hapo juu.
ndugu yangu hilo tangazo lilikuwa la mdogo wangu kweli kichwa alimwinulia kimauzo jamaa kituo chake mpaka jamaa akataka kumuhuzia hisa ukatokea ugomvi wa ndugu wakamfukuza ni waharabu hao ,huyu mdogo wangu ninae kama vp mpe kazi kaka yuko fit kama alivyojieleza
nadhani mkuu thread inajieleza huyu bwana anataka ushaulihivi mtu akiweka thread kama hii lengo lake ni nini???
inafulaisha sana hii threadHivi mods, Hivi vitu hamvioni??... toa kabisa huu uchafu.