Kweli kabisa, chukua hiyo simu inayotangazwa na tigo hapo chini ina kila kitu unachohitaji na kwa gharama nafuu, pia unaweza tembelea hapa https://market.android.com kuona application nyingi unazoweza kuongeza na free. pitia hapa pia kuona specification na user opinions/reviews Huawei U8150 IDEOS - Full phone specifications