Dingswayo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 4,019 Reaction score 2,932 Jan 13, 2013 #1 Naomba kwa wataalam au wenye mazoea, ni sattelite receiver na dish ambazo zimejitokeza kwa ubora wa utumiaji na vilevile ubora wake kijumla?
Naomba kwa wataalam au wenye mazoea, ni sattelite receiver na dish ambazo zimejitokeza kwa ubora wa utumiaji na vilevile ubora wake kijumla?
N Nguto JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 3,668 Reaction score 1,798 Jan 14, 2013 #2 Nunua receiver ya "free to air" hutalipa kitu na unapata channels nyingi sana plus local stations. Dingswayo said: Naomba kwa wataalam au wenye mazoea, ni sattelite receiver na dish ambazo zimejitokeza kwa ubora wa utumiaji na vilevile ubora wake kijumla? Click to expand...
Nunua receiver ya "free to air" hutalipa kitu na unapata channels nyingi sana plus local stations. Dingswayo said: Naomba kwa wataalam au wenye mazoea, ni sattelite receiver na dish ambazo zimejitokeza kwa ubora wa utumiaji na vilevile ubora wake kijumla? Click to expand...
dwight JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 485 Reaction score 167 Jan 14, 2013 #3 Ila madish yanatofautiana ubora na ukubwa hivyo pata ushauri toka kwa fundi.
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,664 Jan 14, 2013 #4 Dingswayo said: Naomba kwa wataalam au wenye mazoea, ni sattelite receiver na dish ambazo zimejitokeza kwa ubora wa utumiaji na vilevile ubora wake kijumla? Click to expand... Mkuu tembelea jukwaa la Tech, Gadgets & Science Forum wadau wameelezea kwa kirefu sana kuhusu hii kitu.
Dingswayo said: Naomba kwa wataalam au wenye mazoea, ni sattelite receiver na dish ambazo zimejitokeza kwa ubora wa utumiaji na vilevile ubora wake kijumla? Click to expand... Mkuu tembelea jukwaa la Tech, Gadgets & Science Forum wadau wameelezea kwa kirefu sana kuhusu hii kitu.