Man from space
Member
- May 18, 2025
- 11
- 11
- Thread starter
- #21
Sema naye mkono mfukoni Mwalim
Ni kweli lakini figisu zimekuwa nyingiSema naye mkono mfukoni Mwalimu,acha unyonge
Sema naye mkono mfukoni Mwalim
Ni kweli lakini figisu zimekuwa nyingiSema naye mkono mfukoni Mwalimu,acha unyonge
Figisu nyingi toka kwa nani!? Mkuu wa shule,afisa elimu, afisa utumishi au mkurugenzi!?Ni kweli lakini figisu zimekuwa nyingi
Umekwama sana mwalimu,Huwa tunarekebisha au kusafisha njia kwanza baada ya hapo mkuu wa shule au afisa elimu anakuwa mpokea maelekezo tuNilitarajia mwakani nikaombe kwenda masomoni kwa bachelor of science with education kwa sababu imeshindikana kubadilishiwa muundo lakini ikaibuka figisu kiongozi wangu akaniambia ameambiwa asipitishe barua mpaka miaka mitano nikabaki njia panda ndo nikaanza kuwaza kivingine
Umekwama sana mwalimu,Huwa tunarekebisha au kusafisha njia kwanza baada ya hapo mkuu wa shule au afisa elimu anakuwa mpokea maelekezo tu
Nielekeze kiongozi maana kiukweli nimekwama nijue njia ya kutokea maana .kwa sababu niliwaza ingekuwa rahisi kubadilishiwa muundo ili niendelee na degree kwa upande Wa maabara lakini inanilazimu kuanza kuisaka degree ya elmu ili muundo ubadilikeUmekwama sana mwalimu,Huwa tunarekebisha au kusafisha njia kwanza baada ya hapo mkuu wa shule au afisa elimu anakuwa mpokea maelekezo tu
Jibu hili swali kwanza Man from spaceFigisu nyingi toka kwa nani!? Mkuu wa shule,afisa elimu, afisa utumishi au mkurugenzi!?
Hana nia na elimu, bali anatafuta njia ya kuwa na mshahara mnono.Hapo unajaribu kutafuta kitu gani kwenye upande wa elimu, mbona hueleweki unataka kubobea kwenye fani ipi??
Lengo iwe nini???Naomba ushauri mm ni mwalimu Wa shule ya msingi Nina diploma ya laboratory science and technology natarajia kujiunga open kusoma bachelor of science general open university alafu baadae nisome postigraduate ya elimu kwa ajili ya kubadilishiwa muundo .je kwenye muundo ipoje kwa watu Wa postgraduate diploma in education
Watoto gani wewe umeona kaandika kwa mtirriko mzuri inavyotakiwa.? Ila sishangai nyie waalimu mnajulikana ni mafailure na ni msikini sana.Ulichoandika kimeeleweka kwa wanaoelewa, hao wengine ni watoto tu wanakuletea usumbufu. Hata mambo ya "kubadilishiwa muundo / recategorization" hawayajui. Wasikupotezee muda.
Hapa ndio umetoa mtiririko mzuri wa maelezo kama msomi.Mimi nilianza kuajiriwa kwa Cheti Cha ualimu nikajiendeleza kwenye laboratory science and technology kwania ya kuhamia secondary kama lab technician lakini naona imekuwa ngumu