Ushauri kuhusu postigraduate diploma kubadilishiwa muundo

Joined
May 18, 2025
Posts
11
Reaction score
11
Naomba ushauri mm ni mwalimu Wa shule ya msingi Nina diploma ya laboratory science and technology natarajia kujiunga open kusoma bachelor of science general open university alafu baadae nisome postigraduate ya elimu kwa ajili ya kubadilishiwa muundo .je kwenye muundo ipoje kwa watu Wa postgraduate diploma in education
 
Prospectus ya 2025- 2026 ya OUT ina bachelor of Science General.?
 
Naomba ushauri mm ni mwalimu Wa shule ya msingi Nina diploma ya laboratory science and technology natarajia kujiunga open kusoma bachelor of science general open university alafu baadae nisome postigraduate ya elimu kwa ajili ya kubadilishiwa muundo .je kwenye muundo ipoje kwa watu Wa postgraduate diploma in education
Hapo unajaribu kutafuta kitu gani kwenye upande wa elimu, mbona hueleweki unataka kubobea kwenye fani ipi??
 
Kilichotokea nilienda kusoma diploma ya maabara nikitarajia nikipelekwa secondary nitajiendeleza kwenye ngazi ya degree lakini kubadilishiwa muundo imekuwa ngumu nikaona kuliko.kupoteza muda niingie open
 
Jifunze kuandika vizuri ueleweke toa detail na zingatia tense/ wakati
 
Naomba ushauri mm ni mwalimu Wa shule ya msingi Nina diploma ya laboratory science and technology natarajia kujiunga open kusoma bachelor of science general open university alafu baadae nisome postigraduate ya elimu kwa ajili ya kubadilishiwa muundo .je kwenye muundo ipoje kwa watu Wa postgraduate diploma in education
Mbona unazunguka sana mkuu why usisome Degree ya Education Moja kwa moja
 
Naomba ushauri mm ni mwalimu Wa shule ya msingi Nina diploma ya laboratory science and technology natarajia kujiunga open kusoma bachelor of science general open university alafu baadae nisome postigraduate ya elimu kwa ajili ya kubadilishiwa muundo .je kwenye muundo ipoje kwa watu Wa postgraduate diploma in education
Hueleweki unatafuta nini kwenye maisha mwalimu wa primary,endelea kujitafuta utajipata tu.

Sasa grade A,diploma in laboratory and technology (hii nayo ni kozi mpya),baada bachelor of science general (sijajua ni kiutu gani hiki) baada ya hapo post graduate ya elimu,
 
Kilichotokea nilienda kusoma diploma ya maabara nikitarajia nikipelekwa secondary nitajiendeleza kwenye ngazi ya degree lakini kubadilishiwa muundo imekuwa ngumu nikaona kuliko.kupoteza muda niingie open
Kipi kimekwamisha kubadilishiwa muundo?,
 
Inawezekana kabisa kama unapenda kufanya kazi shulen tena usichelewe kwenda mwenyewe nilisoma diploma hiyo hiyo na nikaajiliwa na nimebadilishiwa muondo sema mm wakati naajiliwa nilikuwa tayari nina degree kwahiyo nilipodhibitishwa tukaanza mchakato but inahitaji force kidogo coz local mambo yake wanayapeleka kilocal local
 
Wameniambia nitulie Kuna upungufu Wa waalimu na secondary hakuna nafasi ya lab technician ikipatikana watanijulidsha nikapiga mahesabu nikaona hakuna uhakika itapatikana lini nikaomba kwenda kujiendeleza kwa ngazi ya degree kwenye hiyo kozi ya maabara IKAWA huu ndo mwaka Wa tatu baada ya kurudi kutoka masomoni na figisu nyingine za kikazi ikashindikana ndo nikafikiria niende open kimyakimya
 
Sema naye mkono mfukoni Mwalimu,acha unyonge
 
Inawezekana kabisa kama unapenda kufanya kazi shulen tena usichelewe kwenda mwenyewe nilisoma diploma hiyo hiyo na nikaajiliwa na nimebadilishiwa muondo sema mm wakati naajiliwa nilikuwa tayari nina degree kwahiyo nilipodhibitishwa tukaanza mchakato but inahitaji force kidogo coz local mambo yake wanayapeleka kilocal local
Mimi nilianza kuajiriwa kwa Cheti Cha ualimu nikajiendeleza kwenye laboratory science and technology kwania ya kuhamia secondary kama lab technician lakini naona imekuwa ngumu
 
Back
Top Bottom