Ushauri kuhusu petroleum chemistry na civil engineering

Ushauri kuhusu petroleum chemistry na civil engineering

Niwemugizi7

Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
27
Reaction score
7
Habari zenu wakuu..
Nimehitimu Advanced Level mwaka huu na nina jumla ya pass 10 kwenye PCM. Naomba kufahamu which one is the better course kati ya Civil Engineering na Petroleum Chemistry pale UDSM? Hii inahusisha loan possibiity na nafasi za ajira hapo baadae.. Asanteni..
 
Zote loan 100 % but nzur chukua petroleum chemistry... hiyo nyingine wako wengi mkuu...but mm nilidisco hiyo pc ...but nikaenda mzumbe HR...siitak hata kusikia hiyo PC
 
Kwani wewe hasa nin kiko MOYON mwako? maana unaweza shauriwa! baadaye ukaja laumu eitha ajira au.......
 
Habari zenu wakuu..
Nimehitimu Advanced Level mwaka huu na nina jumla ya pass 10 kwenye PCM. Naomba kufahamu which one is the better course kati ya Civil Engineering na Petroleum Chemistry pale UDSM? Hii inahusisha loan possibiity na nafasi za ajira hapo baadae.. Asanteni..

bora civil eng.kwa mbali. ina wigo mpana wa kuajiriwa na kujiajiri.jingine kwa ufaulu wak

o japo ni mzuri tu.sahau kupata hiyo petroleum chemistry udsm.ni hayo tu mengine wajuvi watafafanua zaidi
 
Hizo course za petroleum sio mida zinakua janga maana graduates watakua wengi hafu hawana pa kwenda. Kumbuka hao wote mtso graduate mnaangalia tpdc na makampuni ya huko mtwara BG schlumbeger etc ni bora uende hiyo Civil
 
Back
Top Bottom