IDFakenyingine
Senior Member
- Sep 28, 2022
- 154
- 379
Fafanua kitaalam, au hata kwa uzoefu wako... kivipi Nissan Dualis sio gari..?Hakuna gari hapo,kama una pesa ya kutosha nunua subaru forester hutojutia kabisa
Kama una uzoefu wowote na hii gari mkuu share nasi tujifunze!Nasoma comment
Shukrani.Nikagari kazuri sana nakatumia mwaka wa nne. Miaka miwili nimekitumia location ya milimani na barabara ni mbovu, kipindi cha mvua ndo yenyewe ilikuwa inapandisha kijijini tuu. Usikose kwenye service tuu ambayo ni simple Kwa gari mpya ukiagiza inakuwa ni kumwaga oil na kubadili filter. Make sure unatumia oil iliyoandikwa kwenye kitabu chake. Huta jutia. Kwenye oil sijui ya gear box usimuachie fundi akwambie ubadili inakaa hata km 200,000 huko na ukibadili weka yakwake special iliyoandikwa kwenye kitabu. Sijawahi badili kitu kingine kwenye gari na haligongi gongi chini.
Kabda sijasahau petrol nayo linachagua hakikisha unaweka ya total hizi stetion Za mafuta nyingine Changamoto mafuta yanakuwaga machafu Mara nyingi. Gari ndo naitumia kila siku na safari inapiga boda tu boda wakati wowote. Wanaoaribugi magari ni mafundi wetu wa mchongo.
Ushauri wa muhimu niliowahi pewa ni kuwa na Fundi wauhakika mmoja anayeijua gari yako na mapungufu Kama yapo.
Naomba ufafanuzi kwanini nisiichukue wakati UMEISIFU ni nzuri..?Gari nzuri. Ila usiichukue. Na kuhusu sijui gear box kwani ndugu unachukua gari ili uiharibu?
Gearbox yake ni nyepesi kuzingua.. tena na utunzaji wote huwa inasumbua tu.Naomba ufafanuzi kwanini nisiichukue wakati UMEISIFU ni nzuri..?
Kuhusu gearbox, huku vijiweni kwetu wanasema gearbox yake ni CVT ambayo wanasema ina kama 'maruhani!'
Duh!Gearbox yake ni nyepesi kuzingua.. tena na utunzaji wote huwa inasumbua tu.
Haina sensor mbaya ni Za kawaida tuu. Check engine labda Kwa sababu ya mafuta machafu sheli zeta Hizi. Gearbox wabongo tunaziaribu wenyewe Kwa kumwaga ile oil og na kuweka yetu ya mchongo. Mafundi wengi wanafanya mambo Kwa kukariri kumwaga tuu gearbox oil wakati hata inatakiwa isiguswe mpaka karibia I’m 200,000 huko sasa Kama umenunua Kigari kina soma km 80,000 lini utabadilisha Hiyo.Shukrani.
Mchango wako ni wa thamani kubwa sana.
Vp na yenyewe ina sensors kama zote..?
Kama inazo, ni zipi hasa zinazoleta misala ya ghafla barabarani ili mtu ujiandae?
Hizo ndo zenyewe sasa hata haugusi miaka kumi Wewe ushazoea zile kila km3000 unabadili huku siyo. Ni km 200,000 plus ndo unabadiliNissan's CVT gearbox, NO BUY.
May u please go in details why no buy it..?Nissan's CVT gearbox, NO BUY.
Kiongozi, maelezo yako yananitia moyo sana.Haina sensor mbaya ni Za kawaida tuu. Check engine labda Kwa sababu ya mafuta machafu sheli zeta Hizi. Gearbox wabongo tunaziaribu wenyewe Kwa kumwaga ile oil og na kuweka yetu ya mchongo. Mafundi wengi wanafanya mambo Kwa kukariri kumwaga tuu gearbox oil wakati hata inatakiwa isiguswe mpaka karibia I’m 200,000 huko sasa Kama umenunua Kigari kina soma km 80,000 lini utabadilisha Hiyo.
km3000 unabadirisha ATF iyo san lg au gari?Hizo ndo zenyewe sasa hata haugusi miaka kumi Wewe ushazoea zile kila km3000 unabadili huku siyo. Ni km 200,000 plus ndo unabadili