Ashe,
Kuna kitu kitu kinaitwa workers endorsement Scheme au workers Provident fund.
Mwanzoni michango hii ilikuwa inafanywa na wafanyakazi wa kudumu, baadae haya wa temporary wakawa wanafanya michango lakini waajiri wakawa wanakwepa.
Katika case kama yako ungelimfunga kwamba kwa kutoka contribution ya uzeeni angepshwa akupe hizo na ajibu amekuwekaje temporary kwa miaka mitatu?
Ndio sababu nikasema Kuwa macho na mkataba mpya.
Hakikisha ansandika letter of employment/commitment entitlements zako na fringe benefits kama zipo na annual increments ndio mkataba huo utakaousign.
Vinginevyo ni ujanja bado lakini pole mgonjwa hachagui sawa! Haya mchanga utameza!
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app