Watumishi wote wa ummaNi watumishi wote wa umma au watumishi walio chini ya Tamisemi?
jisajili acha kutusumbua, wenzio wanakopa kupitia huo mfumo, wewe unaendekea kulalamikaHabarini Wadau,
Kuna huu mfumo wa Employee Self Service (ESS) ambao serikali ilitangaza kuwa Watumishi wote wa umma wanapaswa kujisajili humo na kuratibu mambo yote kwa kutumia mfumo huo
Tulishapewa semina mara moja Ofisini na akiwepo DMO, Meneja wa TANESCO, Watumishi wengine wa Afya na Waalimu kuhusu mfumo huo, ila sasa tumebaki tumehang tunasikia tu ni lazima watumishi wa secta za umma kujisajili bila hivyo watakosa salary yaani kutishana tu na blah blah zingine
Wengi tulijisajili lakini hakuna hatua nyingine inayoendelea baada ya kujisajili, labda kwa Waalimu sijui
SWALI, Ni kwanini Serikali isiwaite wataalamu wa IT / ICT kutoka kwny taasisi hizi na kuwatrain ndani ya muda mfupi kisha na hao wakaja kutoa mwongozo katika hili maofisini?
Kwanini Serikali hii inapenda kuprolong mambo bila sababu za msingi?
Au ndio hela zinaliwa hivyo
Serikali iwe serious
Umeelewa nilichoandika? Tatizo sio kujisajili...tumejisajili lakini mfumo unaonesha kuwa kuna taarifa nyingi zingine za kujaza humo lakini hawatupi accessjisajili acha kutusumbua, wenzio wanakopa kupitia huo mfumo, wewe unaendekea kulalamika
nani akupe access. check na uongozi wako mahali pa kaziUmeelewa nilichoandika? Tatizo sio kujisajili...tumejisajili lakini mfumo unaonesha kuwa kuna taarifa nyingi zingine za kujaza humo lakini hawatupi access
Hii ess wamekurupuka kiaiba huu mfumo haujakaa sawa, mimi ni supervisor, kuna mda naingia sioni watu wangu, kuna siku niliingia nakujta kuna manesi na walimu wa secondari, juzi nimeingia nakuta staf robo ya ninaowasimamia yaan usumbufu balaa, leo nimeingia mfumo haupo kabisaHabarini Wadau,
Kuna huu mfumo wa Employee Self Service (ESS) ambao serikali ilitangaza kuwa Watumishi wote wa umma wanapaswa kujisajili humo na kuratibu mambo yote kwa kutumia mfumo huo
Tulishapewa semina mara moja Ofisini na akiwepo DMO, Meneja wa TANESCO, Watumishi wengine wa Afya na Waalimu kuhusu mfumo huo, ila sasa tumebaki tumehang tunasikia tu ni lazima watumishi wa secta za umma kujisajili bila hivyo watakosa salary yaani kutishana tu na blah blah zingine
Wengi tulijisajili lakini hakuna hatua nyingine inayoendelea baada ya kujisajili, labda kwa Waalimu sijui
SWALI, Ni kwanini Serikali isiwaite wataalamu wa IT / ICT kutoka kwny taasisi hizi na kuwatrain ndani ya muda mfupi kisha na hao wakaja kutoa mwongozo katika hili maofisini?
Kwanini Serikali hii inapenda kuprolong mambo bila sababu za msingi?
Au ndio hela zinaliwa hivyo
Serikali iwe serious
Kalibu mwez sasa unafanya ivoMfumo umegoma kabisa upande wa uhamisho.
View attachment 2910767