Ushauri kuhusu majina MDA LGA

Ushauri kuhusu majina MDA LGA

middle east

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
1,309
Reaction score
1,695
Msaada wakuu kwenye "oral interview" kuhusu majina ya vyeti

Vyeti vya shule majina yanasoma ; jakaya mrisho
Cheti cha kuzaliwa na nida ID majina yanasoma ; jakaya mrisho Kikwete.

Ushauri wakuu maana oral interview haipo mbali.
Natanguliza shukrani.
 
Kwani kuna shida ,uzuri nida kuna picha na vyeti vya taaluma vina picha pia, hivi kama wako serious wanaweza kukukataa kwa sababu ya utofauti wa majina mawili au matatu au initial n.k hata kama picha yako inafanana na wewe?
 
Msaada wakuu kwenye "oral interview" kuhusu majina ya vyeti

Vyeti vya shule majina yanasoma ; jakaya mrisho
Cheti cha kuzaliwa na nida ID majina yanasoma ; jakaya mrisho Kikwete.

Ushauri wakuu maana oral interview haipo mbali.
Natanguliza shukrani.
Andaa deed poll mapema kabla ya oral
 
Msaada wakuu kwenye "oral interview" kuhusu majina ya vyeti

Vyeti vya shule majina yanasoma ; jakaya mrisho
Cheti cha kuzaliwa na nida ID majina yanasoma ; jakaya mrisho Kikwete.

Ushauri wakuu maana oral interview haipo mbali.
Natanguliza shukrani.
hapo hakuna shida
 
Kama wewe muajiri utumishi sawa
Majina yangu pia yapo kwa mtindo anaouelezea mleta mada.

Sijawahi kupata kikwazo chochote.

Jambo la muhimu ahakikishe herufi hazitofautiani/kupungua hata moja kwenye cheti kimojawapo.

Majina yangu yapo hivi:

1. Kwenye vyeti vya shule na Chuo.

MWIFWA MTUMISHI

2. Kwenye cheti cha kuzaliwa na NIDA ni.

MWIFWA MTUMISHI NAOT.

Kama hujaelewa uwanja wa kuuliza upo wazi
 
Back
Top Bottom