Kwa kuwa hujawahi kumiliki laptop napenda kukushauri yafuatayo:-
1.Nenda kwenye maduka yanayoeleweke mfano mlimani city au maduka ya posta hii itakusaidia kupata original laptop na yenye quarantee.
2. Sikushauri kununua mini laptop kwa sababu karibu zote hazina sehemu ya CD rom (mkebe wa cd) hii itakufanya uichukie laptop yako kwa muda mfupi, pia italazimu kila ukitaka kuinstall programmme yoyote lazima iwe kwenye flash au utalazimika kununua external cd rom hii itakuwa gharama na usumbufu wa kuibeba.
3.Pia usinunue laptop mini kwa sababu keyboard/battani zimebani kutokana na udogo wake hivyo kukusumbua wakati wa kununua.
4. Kwa sasa usinunue laptop inayo operate under 64 bit itakusumbua kuinstall software nyingi nunua ya 32 bit ndio programmme zake hupatikana kiurahisi ingawa ni technologia ya zamani kidogo ila utaenjoy sana.
5.Chukua ambayo imekuwa installed windows 7 ultimate ina muonekeano mzuri, kwa wewe sikushauri laptop yenye windows 8 itakusumbua na utakosa msaada kwa sababu sio common.
6. Kuna aina ya laptop usinunue mfano Acer, go for hp,dell, lenova, samsung, toshiba ect.
7. Nunua computer ambayo inasupport wireless, bluetooth, wifi utaenjoy sana.
8. Nunua computer yenye hard drive capacity ya atleast 200gb, Random Access memory (Memory) ya atleast 2GB, processor speed atleast 1 ghz.