hapo utahitaji laptop yenye processor ambayo ina single thread perfomance kubwa, sababu software nyingi za ujenzi utakazokutana nazo zinahitaji processor za namna hio na kama kuna software utakayohitaji kuitumia ni vyema pia ukaitaja ili tuhakiki requirements za hio software na aina ya laptop utakayonunua.
laptop nyingi zinazokuja Tanzania ni zile ambazo ni za matumizi ya kawaida hata ukikuta i3/i5/i7 zinakuwa zinaishiwa na U hivyo hizi hazikufai na inabidi kuwa makini.
1. unaweza kuagizia nje?
2. unanunulia hapa hapa ndani.
kama unanunulia nje ushauri wangu ongeza kidogo budget nunua laptop hii hapa
Amazon.com: Newest HP Pavilion 15.6-Inch Full HD 1920 X 1080 IPS Touchscreen High Performance Premium Laptop, Intel Core i7-6700HQ, 8GB, 1TB HDD, DVD+/-RW Drive, HDMI, Bluetooth, Windows 10 - Silver: Computers & Accessories
kwa sasa hio ndio laptop ya bei rahisi zaidi ambayo ina i7 quad core, itafanya almost mambo yote ya fani yako.
kama unanunua hapa Tanzania zunguka madukani Tafuta laptop yenye processor hizi
-i3 4110m
-i5 4200m
-i5 4300m
-i7 4600m
bei zake ni around hio budget yako.
ukikosa kabisa chukua laptop hii ni ya U version lakini atleast kidogo ina nguvu.
440 ProBook G3 - 14
processor yake ni i5 6200u.