Ushauri kuhusu kusoma kozi hizi mbili

Ushauri kuhusu kusoma kozi hizi mbili

Johnson json

Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
37
Reaction score
52
Naombeni ushauri wakuu.

Hivi ni vibaya kusoma vitu tofauti tofauti na maansha diploma unachukia kingine then degree unasoma kingine.

Nia yangu ni nimepangiwa kusoma mining engineer diploma DIT lakini nilikuwa nataka kuchukua mineral processing engineer lakini Sasa nikaona bora nichukie for now mining engineer diploma then degree nisome mineral processing engineer. Hapo itakaaje? Au Bora u specify kwa kitu kimoja mwanzo mwisho.
 
mie binafsi nisingechanganya
sababu:
nikiajiriwa kwa deg, nahisi miaka 3 ya diploma nimepoteza muda

nikiajiriwa kwa dip, nahisi miaka 4 ya deg nimepoteza muda
 
Naombeni ushauri wakuu..hivi ni vibaya kusoma vitu tofauti tofauti na maansha diploma unachukia kingine then degree unasoma kingine,,,Nia yangu ni nimepangiwa kusoma mining engineer diploma DIT lakini nilikuwa nataka kuchukua mineral processing engineer lakn Sasa nikaona Bora nichukie for now mining engineer diploma then degree nsome mineral processing engineer hapo itaka je? Au Bora u specify kwa kitu kimoja mwanzo mwsho
Ila hiyo hiyo diploma si inatosha mkuu
 
Kwani usiposoma kabisa itakuaje
 
Back
Top Bottom