Yaani watu wanaona kuacha ndo style ya muji..i hate this agjdbhhddjjdhhh!!!! yeye si kidume? apambane na mwanaume mwenzie ili kunusuru ndoa yake laa aseme kamchoka anamtaftia sababu maana nyie wanaume mna mambo pia..watt 4 aanze kuwa disturb sahv si aibu jamani? afanye utafiti wa kutosha then ajue yule dada anafanya kwa sbb gani inawezekana amevumliia vituko vyakeee kaona sasa too much...km anampenda mkewe amuonye na ahakikishe hakubali kunyang'anywa tonge mdomoni ...yy ndo atapata fedheha atiii..
Na Sio Simu Tu Hata Kama Angejua Anagegedwa Na Jamaa Wala Hasijisumbue Kumfatilia.Ili Mradi Uchafu Wake Haufanyii Ndani Kwake.Hakuna Haja Ya Kuangaika Nae.Amwache Akimaliza Mambo Yake Atarudi Nyumban Kulea Watoto.[/QUOTE said:Siyo rahisi hivyo, mwanamke kaonyesha dharau. Kwa wanaume hakuna "akimaliza atarudi" na ukumbuke fahari wawili hawakai zizi moja au ala moja....
Naona wengi mnamtetea sana mwanamke lakn mnasahau kuwa hapo kina tatizo linachipua..... Kama aliweza kufikia hatua ya kuazma simu mpaka ampigie huyo mwanaume wake hapo kunann?.......... Mtu amekalishiwa na vikao vya washenga lakn bado hasikii hapo bado hamuoni tatzo?
Kumwacha mwanamke mwanamke kwa uzinzi hilo sion kama ni kosa.. .... Ni bora nibaki na wanangu niwalee pekeyangu kuliko kuling'ang'ania janamke lisilojtambua baadae liniletee maradhi bure na tuwaache watoto yatima
hiyo ndo tayari ishaingia doa. Huyo mama kashanata na beat sehemu flani. Kumng'oa ni kazi sana, inahitaji jitihada za pekee. Otherwise let her learn the fate
kila akipandwa mimba loh ... Kalea tu na stress za malezi si mchezo ukute nalo dume jinga.. Anashika shika papuchi kisa mama ananukia maziwa loh nani kasema huko nje naitwa nakonyezwa loh!!!!!!!!! Kwa nini nisiitoe ?miaka 8 watoto wanne du huyo mama hajawahi pumzika kachoka anataka kupata upepo mwingine