Chris Mungoreme Member Joined Aug 10, 2011 Posts 72 Reaction score 14 Aug 23, 2016 #1 Wapendwa naombeni kujuzwa kuhusu wapi nitapata mbegu nzuri ya kuku wa mayai maana nilishauriwa niagizie Uganda lakini inasemekana kwamba Serikali imezuia uingizaji wa vifaranga kutoka nje. Shukrani
Wapendwa naombeni kujuzwa kuhusu wapi nitapata mbegu nzuri ya kuku wa mayai maana nilishauriwa niagizie Uganda lakini inasemekana kwamba Serikali imezuia uingizaji wa vifaranga kutoka nje. Shukrani