Ushauri kuhusu kujiajiri

Ushauri kuhusu kujiajiri

Ashuray

Member
Joined
Apr 13, 2016
Posts
15
Reaction score
3
Jamani Nina mtaji kama million moja, nni biashara gani inaweza kunitoa??? Nipo dar, naombeni na mawazo yenu plz, maana kusubiria hizi ajira tutakoma mtaani bora tuangalie cha kufanya.
 
Kwanza tulia, pili tafuta muda mzuri..upitie jukwaa la biashara, uchumi na ujasiriamali...kila kitu unavhotaka na kwa mtaji wowote ule...kuanzia micro...small to medium enterprises... Utapata ujuzi tosha pale. Hayo yote yameshajadiliwa sana mkuu!!! Huku ni kwa wanaotafuta ajira na wanaohitaji wafanyakazi. Asante.
 
Asante kwa ushauri nimekuelewa
 
Back
Top Bottom