Naona unataka ufaidike na tafiti za watu then unazifanya Kama Mali yako.
Ila watu.....
Umenikumbusha kisa Cha ugomvi Kati ya Newton na Leibniz kuhusu nani aligundua mfumo mpya wa kutumia Calculus kusolve Hesabu in a simple way.
Tafiti huwa Zina hela nyingi kama ukiwasilisha proposals huko ulaya upate mfadhili.