Ushauri mzuribro siku usafiri wako ,mashamba viwanja na nnamifugo, ukiwa hauna atahamia kwa mwingine,mwache ateseke kwanza ajifunze kuvumilia katika hali zote ila kama unataka kuwa sponser komaa na upendo wako udhani unapendwa kumbe njaa za mwenzio zimemfanya akutafute am sign out kazi kwako.
bro siku usafiri wako ,mashamba viwanja na nnamifugo, ukiwa hauna atahamia kwa mwingine,mwache ateseke kwanza ajifunze kuvumilia katika hali zote ila kama unataka kuwa sponser komaa na upendo wako udhani unapendwa kumbe njaa za mwenzio zimemfanya akutafute am sign out kazi kwako.
Pamoja mkuu ndio maana nmelileta huku tupeane ushauriMkuu wewe ni mvulana au Mwanaume?
kama alishindwa kukuvumilia kipindi kile ulipokuwa unampenda,iweje sasa hivi ajipitishe pitishe na wewe unataka kumrudia?
Serious huoni kabisa kwa jamaa kapata na mtoto kabisa? Na wewe ulikuwa na future nae?
Kuwa na maamuzi kama dume bhana,Kama ni NO ni NO!
Siku ukifilisika atatafuta tena jamaa jingine lile mzgo taratibu...huku ndio kuzicheza vizuri Karata sasa
kwenye maamuzi/mahusiano kunahitajika akili zilizokamaa vizuri,na mimi nahisi bado hujafikia hicho kiwango.
Au nahisi pia inaonyesha huyo binti ana muonekano mzuri sana + sura achilia mbali na maisha yao safi ya kishua ndio maana unababaika?[emoji23]
Yote kwa yote nikutakia kheri,amua kufanya maamuzi yako binafsi..siwezi kukupangia
Kweli boss. Akikujib nitagMkuu wewe ni mvulana au Mwanaume?

sawa mkuu,wewe usiumize kichwa..najua kukosea kupo,ila huyo kaonyesha udhaifu mapema sana..kitendo cha kuchomoa na kuolewa na njemba nyingine ni tamaa ya haraka sana..hana uvumilivuPamoja mkuu ndio maana nmelileta huku tupeane ushauri
Upo sawa nadhani huu ntauzingatiasawa mkuu,wewe usiumize kichwa..najua kukosea kupo,ila huyo kaonyesha udhaifu mapema sana..kitendo cha kuchomoa na kuolewa na njemba nyingine ni tamaa ya haraka sana..hana uvumilivu
Na wanaume tumeumbwa kuwa straightforwad!
Na ubaya usiruhusu kuonyesha udhaifu
Sasa issue wewe ulikuwa umempenda,yeye kaharibu isitoshe amekaa miaka miwili ndani ya ndoa.
Muhimu kuwa mpole,tafuta rafiki mwingine mtakaye endana..huyo awe mshkaji tuu wa mazoea ya hapa na pale..huyo atakujeuka tuu
Kwa maoni yangu,japo yanaweza yasiwe muhimu sana.
Kila la kheri ndugu,Upo sawa nadhani huu ntauzingatia