Kuna siku alikua analalamika kua jamaa hatumi hela ya matumiz kwa ajili ya mtoto hakuniomba lakini nilimtumia pesa kiasi na sikumfuatilia nadhani ndicho kinachomchanganya maana baada ya kunielekeza matatizo yake nilimpa pole then nikamwambie ajitahid kumvumilia jamaa ake Mambo yatakaa sawa tu kitu ambacho yeye hatak maana anadai wamejaa na jamaa miaka 4 Ila miaka miwili ya kwanza ndio walikua na pesa hii miaka miwili ndio anadai ameishi maisha ambayo tangu azaliwe hajawahi kuishi hivyoKama una huruma mpe ela ya kula ila mahusiano usithubutu....
Daaaa kwa hyo nimnyandue
Ndugu vitu vingine ni kujitoa ufahamu kama moyo upo kwake waweza kua naye ila mpime saana then utapata maamuzi sahihi syo vizuri kutoa hukumu 1 kwa 1 yawezekana karudi kwako mazima japo kisha onyonyesha kua na tamaa na kua si mwaminifu. Ila binadamu tunajifunza kutokana na makosa na no 1 iz perfectMe baada ya demu kuzingua halafu nikajua kabisa sababu ya kuniacha Ni kutokua na pesa ilinifanya nipambane Sana na sikuwahi kumwamini Tena mwanamke na baada ya yeye kunitafuta huku analia kua alibugi ikanipelekea nililete mezani lakini nashukuru ushauri wenu Ni mzuri maana maana unaweza kuingia mkenge Tena kwa Mara ya pili asanteni