Ushauri kuhusu huyu mpenzi

Ushauri kuhusu huyu mpenzi

lungw

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2016
Posts
207
Reaction score
181
Nilikuwa na demu ambaye nilikaa naye kwa kipindi cha miaka 6 kwenye uchumba, na kipindi chote hicho nilikuwa kwenye mapambano makali ya kutafuta pesa lakini mambo hayakuwa vizuri Sana. Sasa kipindi anakaribia kumaliza chuo akaanza kubadilika simu unapiga hapokei na akipokea anakwambia alikuwa busy, nilivumilia kwa sababu nilikuwa nampenda sana sikua tayali kuachana nae, lakini hali ilizinidi ikifika siku akanitamkia kuwa tuachane kila mtu afanye Mambo yake daaaa!

iliniuma Sana na nilijitahid kumbembeleza lakini hakunielewa nakuuliza labda Ni kipi kikubwa kilichofanya afikie uwamuz huo na Kama nimemkosea sehem anisamehe wap hakunielewa zaidi hakupokea simu zangu Tena Wala sms hakujibu, bac ilichukua mda Sana kuzoea hiyo Hali.

Sasa juzi Kati amenitafuta kumbe Kuna jamaa alimshawishi aachane na mm ili amuoe na huyo jamaa walikua wote chuoni na kweli walifanikiwa jamaa akamchukua akalipa mahali kiasi na wamefanikia kupata mtoto mmoja Sasa kilichofanya anitafute Ni kwamba jamaa baada ya kumaliza chuo mama yake alifariki na alikuwa mtumishi wa Serikali hivyo jamaa alipewa milathi Kama milioni 45 na baada ya kupewa hyo pesa akajenga nyumba pesa zilizobak wakawa wanatumia huku jamaa anatafuta ajira lakini pesa zimeisha na kazi bado Hana na tangu pesa iishe

Ni mwaka wa pili Sasa hivyo maisha yao ni magumu kiasi kwamba mlo mmoja shida kuupata kitu ambacho mwanamke hakuzoea maana kwao mambo Safi na baada ya kunitafuta siku anaonana na Mimi hakuamini maana sijaajiriwa serikalini lakini maisha yangu kiasi sio mabaya nnausafiri wangu ,nna mashamba nmenunua na nna viwanja Kama 3 hapa mjini Ila nmepanga na nnamifugo, sasa demu anataka tuludiane kila siku analia anaomba msamaha na yupo kwa wazazi wake anadai alidanganywa na Mimi kiukweli bado nampenda na sijaoa so nifanyaje?
 
Kwahiyo tabia yake bado hujaielewa au ni vipi?huyo ni wale ukiishiwa na hamu na wewe inamuishia,anatafuta aliye mambo safi...
 
bro siku usafiri wako ,mashamba viwanja na nnamifugo, ukiwa hauna atahamia kwa mwingine,mwache ateseke kwanza ajifunze kuvumilia katika hali zote ila kama unataka kuwa sponser komaa na upendo wako udhani unapendwa kumbe njaa za mwenzio zimemfanya akutafute am sign out kazi kwako.
 
Ushauri mzuri
 
Hivi milango huwepo kwa Nini Kama huwezi kuifunga? Naona mbuzi anamshangashangaa chatu...nyie subirini kitakachofuata very soon! Atakuja na Uzi akiomba ushauri Tena baada ya kumkuta makubwa🤣😂🤣!
 
bro siku usafiri wako ,mashamba viwanja na nnamifugo, ukiwa hauna atahamia kwa mwingine,mwache ateseke kwanza ajifunze kuvumilia katika hali zote ila kama unataka kuwa sponser komaa na upendo wako udhani unapendwa kumbe njaa za mwenzio zimemfanya akutafute am sign out kazi kwako.

Kama ulikuwa kichwani kwangu vile.

Huyoo mwanamke sio kabisaa. Jamaa akijakufulia huyoo aliemuoa akapata pesa atarudi Tena kwa mme wake aseme alidanganywa.
 
Mkuu wewe ni mvulana au Mwanaume?

kama alishindwa kukuvumilia kipindi kile ulipokuwa unampenda,iweje sasa hivi ajipitishe pitishe na wewe unataka kumrudia?

Serious huoni kabisa kwa jamaa kapata na mtoto kabisa? Na wewe ulikuwa na future nae?

Kuwa na maamuzi kama dume bhana,Kama ni NO ni NO!

Siku ukifilisika atatafuta tena jamaa jingine lile mzgo taratibu...huku ndio kuzicheza vizuri Karata sasa

kwenye maamuzi/mahusiano kunahitajika akili zilizokamaa vizuri,na mimi nahisi bado hujafikia hicho kiwango.

Au nahisi pia inaonyesha huyo binti ana muonekano mzuri sana + sura achilia mbali na maisha yao safi ya kishua ndio maana unababaika?

Yote kwa yote nikutakia kheri,amua kufanya maamuzi yako binafsi..siwezi kukupangia
 
Pamoja mkuu ndio maana nmelileta huku tupeane ushauri
 
Kweli boss. Akikujib nitag
 
Pesa hutoa akili mpya

Na umasikini hupoteza mali za halali

Wanaume tumeumbwa kwenda mbele sio kurudi nyuma sasa we chagua kwenda mbele au kurud nyuma
 
Kwa hiyo umeamuaje hivi kwanini ni wakiume tu ndio wakukutwa na visa vipi upande ule
 
Pamoja mkuu ndio maana nmelileta huku tupeane ushauri
sawa mkuu,wewe usiumize kichwa..najua kukosea kupo,ila huyo kaonyesha udhaifu mapema sana..kitendo cha kuchomoa na kuolewa na njemba nyingine ni tamaa ya haraka sana..hana uvumilivu

Na wanaume tumeumbwa kuwa straightforwad!
Na ubaya usiruhusu kuonyesha udhaifu

Sasa issue wewe ulikuwa umempenda,yeye kaharibu isitoshe amekaa miaka miwili ndani ya ndoa.

Muhimu kuwa mpole,tafuta rafiki mwingine mtakaye endana..huyo awe mshkaji tuu wa mazoea ya hapa na pale..huyo atakujeuka tuu

Kwa maoni yangu,japo yanaweza yasiwe muhimu sana.
 
Me baada ya demu kuzingua halafu nikajua kabisa sababu ya kuniacha Ni kutokua na pesa ilinifanya nipambane Sana na sikuwahi kumwamini Tena mwanamke na baada ya yeye kunitafuta huku analia kua alibugi ikanipelekea nililete mezani lakini nashukuru ushauri wenu Ni mzuri maana maana unaweza kuingia mkenge Tena kwa Mara ya pili asanteni
 
Mtumie link ya huu Uzi,mwambie asome hizi comments.

Ukirudiana na huyo mwanamke,utakuwa umetokea sayari tofauti na dunia.
 
sawa mkuu,wewe usiumize kichwa..najua kukosea kupo,ila huyo kaonyesha udhaifu mapema sana..kitendo cha kuchomoa na kuolewa na njemba nyingine ni tamaa ya haraka sana..hana uvumilivu

Na wanaume tumeumbwa kuwa straightforwad!
Na ubaya usiruhusu kuonyesha udhaifu

Sasa issue wewe ulikuwa umempenda,yeye kaharibu isitoshe amekaa miaka miwili ndani ya ndoa.

Muhimu kuwa mpole,tafuta rafiki mwingine mtakaye endana..huyo awe mshkaji tuu wa mazoea ya hapa na pale..huyo atakujeuka tuu

Kwa maoni yangu,japo yanaweza yasiwe muhimu sana.
Upo sawa nadhani huu ntauzingatia
 
Upo sawa nadhani huu ntauzingatia
Kila la kheri ndugu,
Cha muhimu usimuamini yeyote!

hata huko uendapo uchange vizuri karata,au tumia kabisa mlango wa sita wa ufahamu.
 
Back
Top Bottom