Ushauri kuhusu hii meseji

Ushauri kuhusu hii meseji

Poleni Sana Maana Wanigeria Ndo Wanakaribia Kuwaliza Hivyo. Iogope Sana Hiyo Mesaji Kwani Mahira yake Ni zaidi ya Njaa.
 
Matapeli wa kimataifa ndugu, kaa nao mbali.Ukitaka kujua ukweli, google t.mobile promo usa.
 
Hamna kitu hapo ni matapeli mkuu usipoteze muda .....mi nilitumiwa na sipo bongo .....hii kitu ipo dunia nzima ....
 
hao ni matapeli na me ishawahi kunitokea, nilifuatilia mwishoe nikajihakikishia kua matapeli.
 
Kaka hao ni matapeli
Wapo Tanzania na wanafanyia wizi wao maeneo yenye viwanja vya kimataifa wapo Wanageria na Wasenegal
Mi walinipapeli dollars 700 hapa japa Tanzania
Usikubali kudanganyika
Mi walinitapeli mwaka huu mwezi wa 3 KIA (KILIMANJARO INTERNATIONAL AIRPORT)
 
Khaa!! Tamaa ya pesa ndiyo msingi mkubwa wa kutapeliwa. Hakuna short cut. Jitume, tumia fursa zilizopo kisha fanya kazi kwa bidii na nidhamu kubwa utatoka tu. Wakupe $1m ndugu yao wewe?Acha ujinga
 
weka mbali na watoto, hayo ni matapeli sugu, dont reply anything
 
Me walimtumia mshikaji wangu hapa azania aisee alipagawa
 
Mnanishangaza sana wakuu, hujacheza bahati Nasibu yoyote, hujajisajili kwenye mchezo wowote wa kubahatisha, halafu inakuja meseji kama hiyo bado unahoji kama ni feki au lah?
 
hicho kiingereza kimekosewa, hakuna space baada ya coma, wamarekani wangeandika occupation badala ya neno JOB.

Matapeli ambao shule yao ni ndogo sana, wakikutia kingi hao utakua zaidi ya popoma, jiulize iweje meseji imetumwa na namba ya airtel ? Marekani kuna airtel ????
 
Mmmh! hao jamaa pasua mwenyewe nmetumiwa mbili jana tu ila nkazifutilia mbali...
 
hicho kiingereza kimekosewa, hakuna space baada ya coma, wamarekani wangeandika occupation badala ya neno JOB.

Matapeli ambao shule yao ni ndogo sana, wakikutia kingi hao utakua zaidi ya popoma, jiulize iweje meseji imetumwa na namba ya airtel ? Marekani kuna airtel ????

mkuu,mtoa mada hajasema ametumiwa msg kwa namba ya airtel?
naona kama umejibu mada yako mwenyewe kwa jina lingine!ni kuhisi tu kwa matendo.
 
Back
Top Bottom