Ushauri Kuhusu hawa Wanawake

Ushauri Kuhusu hawa Wanawake

toughlendon_1

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Posts
6,912
Reaction score
12,371
Wakuu nianze hivi, mimi miez kama mitatu imepita nlikuwa nakatiza kariakoo-mtaa wa Agrey na mshikaji wangu mara akapita binti mkali jamaa akanishtua nimwangalie ( kama ilivyo hulka ya wanaume wote), kuchek mtoto mzuri, nikamtania mshkaji wangu "nimwite nikuonyeshe viwango vyangu enzi zangu " akasema huwez, Mwanaume nikajitosa nikaongea na katoto kazuri tukaelewana kukauliza unakaa wapi, kanakaa huko huko nakokaa mimi, nikamwambia nenda unapoenda ukiwa unarud niambie turud wote, bila hiyana mtoto akanishtua, nikarud nae mtaani nikaenda kujibanza nae sehemu tukapiga stori nikakapa nauli kakasepa, Relationship ikawa imeanza ivyo baada ya few weeks mnyamwezi nkajilia vyangu....

KWENYE MKANGANYIKO SASA

Mtoto tukawa tunawasiliana kama kawaida, nikasafiri kikazi nikaenda Arusha, wakati nipo kikazi Arusha nikapigiwa simu na mwanamke simfahamu(ana sauti nzuri), anadai tulishawah kukutana na labda nlipoteza namba yake ila kila nkivuta picha sikumbuki , nkamwambia nkirud dar ntakuchek maana nae yupo dar , nlivyorud dar nikamchek, tukapanga kuonana, sasa hapa technique yangu nimwone kwanza yeye kama hafai nimkimbie, nikamleta mpaka mtaani nikamsimamisha sehemu nilivyomwona mtoto chombo nikampeleka home tukapiga piga stori, ila kwa sisi mafundi wa one night stand nikala kitu kitamu, tulivyomaliza akadai hajajua ata nimemlaje eti nimemla kisailensa....na kwakuwa ni katamu nilikatunuku mashine haswa kakaniambia naomba niseme UKWELI.

UKWELI WENYEWE SASA

Kumbe kalitumwa na yule mwanamke wa kwanza kanipeleleze kama nampenda kweli sababu yule alikuwa na wanaume wawili mimi na mwingine(uknown)., kakasema ushenz wa rafiki yake wote, si nimeshakakoleza, kakampigia simu mbele yangu na nikasikia, nikakaruhusu katoto kazuri kakaondoka, sasa kalichokosea kalivyosepa, kameshayatibua kalipiga simu kakamwambia ukweli kwamba kananipenda ye aendelee na yule mwingine kenyewe kataendelea na mimi, WAKUU HADI SASA UMETOKEA UGOMVI MKUBWA NA WAMEKUWA MAADUI UNGEKUWA MIMI UNGEFANYAJE ? Ushauri please.....




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Waache wote

Sky kusema ukweli labda nihame ninapokaa wanapajua alafu Roho inaniuma ni watoto wazuri aisee, sijui ilitokeaje wakawa marafiki alafu uwongo dhambi ni watamu kwakweli,


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sky kusema ukweli labda nihame ninapokaa wanapajua alafu Roho inaniuma ni watoto wazuri aisee, sijui ilitokeaje wakawa marafiki alafu uwongo dhambi ni watamu kwakweli,


Sent from my iPhone using JamiiForums
Are you a real man? Be strong 💪 kuna ile unampigia simu mtu anakuuliza nikusaidie nini? Mwenyewe unakonda.
Umeshalikoroga hao huwawezi tena.
 
Endelea nao wote kwa pamoja mi natumia njia ya "watawanye uwatawale" jinsi ya kuwatawanya utajua mwenyewe!!!
 
Watu tunawaza Tanzania mpya Chini ya mheshimiwa magufuli.. Wengine mnawaza ngono tu. Nonsense
 
Are you a real man? Be strong kuna ile unampigia simu mtu anakuuliza nikusaidie nini? Mwenyewe unakonda.
Umeshalikoroga hao huwawezi tena.

Ila its better i quit...i will get into unecessary problems kwanza me nshajilia mzigo nijikalie pembeni


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Endelea nao wote kwa pamoja mi natumia njia ya "watawanye uwatawale" jinsi ya kuwatawanya utajua mwenyewe!!!

ahahahah nimecheka, divide and rule


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jombaaa,sisi wenzio hatuna hata mmoja wewe unao wawili...wangelikuwa ni mashati ningekwambia unigawie moja!

Sent using Jamii Forums mobile app

Me kwenye pananishinda ni pale madiwan na wabunge wanaponunuliwa kwa kodi za wananchi wakati kuna majitu mengi tu humu jf yalitakiwa yapate quality education, improved healthy care system na better place to leave...its bullshyt man, and for that reason i dont do politics....


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom