Happy happy
Member
- Jul 3, 2023
- 13
- 19
Wana JF habari,
Hivi kuna anayepitia changamoto kama ninazopitia? Dah kuna muda natamani nipige kelele kwa ninayopitia labda nitapunguza machungu. Kazini changamoto, nikirudi nyumbani nako changamoto, mahusiano changamoto. Nahisi kichwa kizito jamani, sijui hata niwaelezaje labda mtanielewa.
Lugha ya wapi hiyo?Hizo sehemu zote ulizotaja ni kawaida kuwepo changamoto
Muhimu go easy on yourself.....maisha sio marahisi wala magumu namna hiyo
Wana JF habari,
Hivi kuna anayepitia changamoto kama ninazopitia? Dah kuna muda natamani nipige kelele kwa ninayopitia labda nitapunguza machungu. Kazini changamoto, nikirudi nyumbani nako changamoto, mahusiano changamoto. Nahisi kichwa kizito jamani, sijui hata niwaelezaje labda mtanielewa.
hujazitaja ni changamoto zipi.Wana JF habari,
Hivi kuna anayepitia changamoto kama ninazopitia? Dah kuna muda natamani nipige kelele kwa ninayopitia labda nitapunguza machungu. Kazini changamoto, nikirudi nyumbani nako changamoto, mahusiano changamoto. Nahisi kichwa kizito jamani, sijui hata niwaelezaje labda mtanielewa.
Pole yako wewe. Matatizo yako unaweza kujitatulia.Wana JF habari,
Hivi kuna anayepitia changamoto kama ninazopitia? Dah kuna muda natamani nipige kelele kwa ninayopitia labda nitapunguza machungu. Kazini changamoto, nikirudi nyumbani nako changamoto, mahusiano changamoto. Nahisi kichwa kizito jamani, sijui hata niwaelezaje labda mtanielewa.
Nina wasiwasi, huenda una nyege.Wana JF habari,
Hivi kuna anayepitia changamoto kama ninazopitia? Dah kuna muda natamani nipige kelele kwa ninayopitia labda nitapunguza machungu. Kazini changamoto, nikirudi nyumbani nako changamoto, mahusiano changamoto. Nahisi kichwa kizito jamani, sijui hata niwaelezaje labda mtanielewa.
Uzi ufungweBila kutaja hizo changamoto ni chai!
NB: Kila mtu ana changamoto zake, hata hao unawaona wanaenjoy nao wana ya kwao hawasemi tu. Kikubwa pambana na hali yako!