Ushauri kuhusu application(NACTE)

Ushauri kuhusu application(NACTE)

Madihani

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
6,325
Reaction score
7,533
Habari wakuu.
Kwenye uchaguzi wa degree programme ya tano nimejaza>Bachelor degree in Labour relations and Public management.

Je ajira ni maeneo gani?
Mimi ni Mwalimu nimeamua kubadili fani ili kuepuka shida za Ualimu.
 
wewe unataka ukatetee mabek tatu eeh Kazi zenyewe hakuna unataka ukamtetee nan sasa
 
Back
Top Bottom