victor mbuya
Member
- Aug 5, 2016
- 78
- 32
Kwa nini unasema ni balaa??tunaomba ufafanuziNamba mbili toa then weka agriculture economics(agribussiness)ya SUA.
NI BALAA.
Namba mbili toa then weka agriculture economics(agribussiness)ya SUA.
NI BALAA.
Wew huna malengo nini chalii yangu.....?
umesom art af unachagua general agricature utatemwa tuu
Nan kakwambia na huyo history anafata nin apoHGE sio arts
Art ni art tu.kuna bam na economics mkuu,,sio pure arts as far as it was elaborated
Hahah mbuyaaaaa hongera kijana umepga vzr...sorry coz cna cha kukushauri zaidi ya kukupongeza tu chalii Allah akupe utakachoshkamoo kwa wakubwa zangu na kwa wengine habari zenu jamani,,mimi ni kijana niliemaliza kidato cha sita mwaka huu mchepuo wa HGE na nikafanikiwa kupata division 1.8 (History B,,,Geography C and Economics C ,,Bam S GS ,,S ) sasa ninapata changamoto kwenye selection za course ,,nimekwishaselect bsc in agricultural and natural resources economics and business (UDSM) ,,bcom in accounts (UDSM) ,bsc in land management and valuation (ARDHI) ,,bsc in building economics (ARDHI) and lastly bsc economics-project planning and management (.mzumbe), naomben ushaur kwa hio selection ,,asante
hyo agriculture ecnmcs ya UDSM ni copy tu.Kwa nini unasema ni balaa??tunaomba ufafanuzi
Hahah mbuyaaaaa hongera kijana umepga vzr...sorry coz cna cha kukushauri zaidi ya kukupongeza tu chalii Allah akupe utakacho
Npo tanga johhhhhhhhaha mkuu bandah shukrani upo wapi
HGE ni social science mkuuArt ni art tu.
Labda EGM ndio wangesema wanasayans japokua wamejumuishwa na wana art
Kuiita hge science ni dharau ya juu kabisa!!! Unasoma history alafu unasema ni science???? Uko timamu??HGE ni social science mkuu
Unaelewa maana ya social science mkuu? Na pure science au maana tu ya science ?Kuiita hge science ni dharau ya juu kabisa!!! Unasoma history alafu unasema ni science???? Uko timamu??
kwani kachagua general agriculture hyo agribusiness ya hge na egm ndio wanasoma sanaOk mkuu
na sisi EGM ni science au artNan kakwambia na huyo history anafata nin apo