Ushauri kijana anataka kuoa


Hao inatakiwa wakaombewe tu,wewe unadhani ndoa ni kuingia ingia tu?Kuna mambo mengi sana ukianza kuyafuatilia kwenye uchumba inaweza ikafikia hatua ukasema mara huyu ni group K mimi ni group A kwa hiyo damu hazitaendana,mara kwao walikuwa na kifafa sijui siko cell. Hayo yote yapo ila kwa kusali na kuomba mnavunja laana za mababu,laana za kujinenea na za kunenewa na baada ya hapo hata kama mmoja nyota itakuwa simba mwingine kondoo nakuambia simba hatamtafuna kondoo hata siku moja
 
Kama ni kweli huyo Mwanamme Nyota yake ni Moto na Huyo Mchumba nyota yake ni Maji basi huyo dume atazimwa na huyo Mwanamke ndani ya ndoa haifai kabisa kuowana hao watu wawili Mbwa dume Mambo yetu ya nyota tuachie wenyewe mkuu.

FUNGA NDOA KIURAHISI KUPITIA NYOTA

NYOTA YA PUNDA NA MIZANI (Tabia ya punda ni moto na mızanı nı upepo)
Mpate mpenzi siku ya Ijumaa kwenye sherehe za ngoma saa 3 au saa 9, vaa nguo rangi mbili juu nyekundu chini njano. Mshike mkono mara kwa mara, hakikisha mnakula kabla ya mazungumzo

NYOTA YA NGOMBE NA NGE (Tabia ya Ng'ome ni Udongo na Tabia ya Nge ni Maji)
Ng'ombe: kutana nae saa nane na uwe peke yako, Vaa nguo ya rangi ya kijani iwe siku ya Jumanne saa 2 au saa 8. Mpe chakula cha mafuta mafuta na rojo rojo. Mkutanishe na jamaa zako wa nyumbani usimtazame usoni, mguse guse shingo na mapaja. Penda kuimba imba au vaa Walkman.

NYOTA YA MAPACHA NA MSHALE (Tabia ya Mapacha ni Upepo na Tabia ya Mshale ni Moto)
Penda sana kuzungumza kiingereza au kusoma soma na kushika gazeti unapotembea mbele yake. Kutana nae siku ya Jumatano saa 9 na mpende ndugu yake wa pili. Penda kutafuna tafuna Big G na zungumza utani kwa wingi huku ukizungumza upesi upesi. Vaa nguo za kitoto fupi na usikose mkanda.

NYOTA YA KAA NA MBUZI (Tabia ya Kaa ni Maji na Tabia ya Mbuzi ni udongo)
Penda sana kununa, usicheke hovyo, mpe vitu baridi kama peremende, ice cream, na vitu vya kunyonya. Mvamie na umshike shike kitovu pia mfinye finye vidole. Tembea nae taratibu na uzungumze nae pole pole, penda sana mambo yake. Vaa nguo ya rangi ya bluu isiyoiva. Lazima muishi sehemu za bondeni na nyumba yenu iwe na choo cha ndani na sehemu ya kulia chakula. Kutana nae Jumamosi au Jumapili saa 4 au saa 10. Zungumza nae kwa kigugumiz

NYOTA YA SIMBA NA NDOO (Tabia ya Simba ni Moto na Tabia ya Ndoo ni Upepo)

Mpenzi apende kukandwa na kutolewa ukali na mtembee kwa haraka, saa za mapumziko ziwe saa 1 na saa 5. Awe muhongaji na mkae karibu na nyumba ya kona. Mwanamke avae Kofia au Ushungi na kiuno akibane kwa Mshipi au kanga. Tendo la ndoa liwe fupi na la kurudia lakini pendelea kukandana. Kutana nae siku ya Jumapili ambayo ndio siku ya Mapenzi.

NYOTA YA MASHUKE NA SAMAKI (Tabia ya Mashuke ni Udongo na Tabia ya Samnaki ni Maji)
Chagua mpenzi asiesoma zaidi kuliko aliyesoma, utampata mpenzi wa ndoa tarehe 30 na huenda mkakutan hospitali au hotelini au baada ya ajali. Kuwa maridadi, viatu virefu vya kisigino na mlio. Usikose senti ndogo na uoneshe kulia au kukata tamaa na kumuhudumia katika ugonjwa wake au jamaa wake wa kike. Kutaneni siku ya Alhamisi.

Ukiwa na Tatizo lolote unaweza kunitafuta kwa njia ya Email Bruwa ya pepe email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com Au Waweza kunitembela blog yangu Kwa kubonyeza hapa.
WHY SEXERCISE IS GOOD FOR YOU HEALTH
 
Mkuu Matola, nadhani ingekuwa ni bora ukatiririka humu namna hizo nyota zinavyofanya kazi. Uelezee kuoana na kuto kuoana kwa hizo nyota ili tuelewe specifically nini kinamaanishwa hapa.:israel:

cc Matola
 
Last edited by a moderator:
Hamna ca nyota wala nn mambo ya shtan 2maisha ni kutafuta na kua na displine ya hela
 
How it works? please msaada jamani wa hizo nyota.
 
Mmmh...Mbona minaona nyota zimepangika sawa tu. Moto ukizidi kuchoma sana ndani ya nyumba kutaitajika maji kuuzima so mwambie asiogope kumuoa.Cha muhimu zaidi katika ndoa ni upendo.
 
Mkuu Mbwadume,
Mambo ya Nyota yanaitwa Astrology, yana ukweli ndani yake katika maisha, nimeyasoma sana kupitia maandishi ya Linda Goodman's Sun Signs

na Linda Goodman's Love Signs


Huu ni uhusiano wa influence ya nguvu ya uvutano kati ya jua, mwezi na sayari, ile siku umevuta pumzi yako ya kwanza baada tuu ya kuzaliwa!. Imfluence hizi ni real ila ukijitambua na kuamua vinginevyo, uwezo "will yako" kusema hapana kwa bad influence inanguvu kuliko kitu chochote.

Kuzitegemea elimu ya nyota kama astrology, numerology au palmistry zote hizi jumla yake ni ibada za mashetani, na ni kuabudu miungu wengine hivyo ni dhambi na inakatazwa kabisa katika imani za Kikristo!.

Mimi nimezisoma sana na kuzitumia for fun but not for real!. Hivyo mshauri huyo ndugu yako, kama ni kweli wanapendana na mchumba wake and the love is real, then love will conquer all, hana sababu ya to change a thing, be it name or anything kwa sababu, mule tuu kubadili nina ni kuamini in numerology na hakuna kith mina nguvu kwa binadamu kama imani!.

Inaonyesha huyo mdogo wako ameishaathiriwa na negative faith ya utajiri wa nyota fulani fulani na umasikini wa nyota fulani fulani, hivyo kitu cha kwanza anachotakiwa kufanya ni to change his attitude by doing away with negativity aireplace with positivity and positive affimations kuwa wakioana watafanikiwa na watakuwa matajiri!.

Think rich be rich!.

Mwambie kitu kikubwa kabisa katika maisha yake ni kitu kinaitwa "will power" akikitumia vuzuri, atazivunjilia mbali nguvu za giza zinazotoka kupotezea mpenzi wake.

Mshauri apitia kwenye uzi wangu huu Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo ila Hawajijui!, Jitambue, Zitumie!.


Kwenye uzi huo unaweza kusoma sub topic ya Astrology.

Kwenye uzi wangu huu, nimeweka kila kitu, ukiamua kumfuata Mungu unaweza, ila ukiamua kumfuata shetani pia unaweza, na sio tuu kumfuata shetani, bali hata wewe kujigeuza kabisa na kuwa shetani, jini pepo etc, wewe zama tuu humo kwenye hizo sub topic.


Pasco
 
Duh... Ngoja nikusaidie kuwaita wataalamu wa hizo makitu..

Mkuu MziziMkavu na Pasco msaada wenu tafadhali....
Chamingile (Kiswahili), asante kunistua kuhusu hii kitu, nimetoa ushauri!, kiukweli shetani yupo for real na watu wengi hujikuta wamepotezewa huko bila kujijua. Nyota ni kweli zina influence, ila will power ndio determinant, hizo nyota ni nothing, upotevu na bondage!.
Pasco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…