Ushauri: Kibondo isiwe sehemu ya Kigoma

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,373
Habari!

Sababu ya hili ni kama zifuatazo;

Umbali kutoka Kigoma Mjini zaidi km 200

Tofauti za kilahaja ,msamiati na miundo ya sentensi. Na maanisha utamaduni hauingiliani sana, ingawa wapo kwenye superstratum moja.

Wakati watu wengi wakiwa ni wenye asili ya ma chief kama Rusimbi, Ntale, Ruhinda Kibondo haiko wazi vya kutosha.

Kutokufanana katika maamuzi ya kisiasa na maeneo mengine ya mkoa huo yaan hakuna political coherence .

Kuacha kimaendeleo wilaya Kibondo na maeneo mengine hvyo ikipewa mamlaka kama mkoa inaweza kuendelezwa.

Natania tu mjomba ha ha ha
 
Hii mada ina mashiko sana,Idadawue kidogo ili ipate wachangiaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…