Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
Habari wana JF.
Naomba mnishauri mawazo N.K kwa yoyote mwenye ufahamu na hili jambo.
Nina diploma ya computer science kutokana na ugumu wa ajira. Nimefikiria kujiajiri ktk tasnia hii híi yaan nifungue ofis yangu binafsi itakayohusika na
1.flashing & unlocking devices i,e modem, phones etc
2.pc maintanance & repair
3.os and other softwr installation
4.kuuza computer accesories
5.n.k
Kiukwel kila k2 nipo vizuri ila hapo kwenye 1. flashing & unlocking device ndo sielewi hata kimoja, ombi langu n km kuna short course yoyote au mzoefu anipe maujanja (software tutorial n.k) anisaidie kwa hilo.
Nb: nimeiita fursa kulingana na mazingira niliynya tagert pesa ipo. Kama cjaeleweka niulize tu maana na type kwenye simu.
Mwongozo wenu please