leons de silves
Member
- Mar 1, 2025
- 24
- 34
ASANTE KWA USHAULI MKUBWA.Achana na kujitolea focus kwenye kujiandaa na interview na kuomba kazi serikalini kuingia lazima upige paper psrs zinahitaji competent person na pesa za kutosha
Fanya madili mtaa uku unasoma vby achana na utumwa usio na faida
Be a man.
Pesa za kujigharimia usaili kuna kwenda Dodoma na malazi ya guest ukianza upuuzi wa kujitolea utapata wapi jipange mkuu.ASANTE KWA USHAULI MKUBWA.
Apo kwenye pesa za kutosha upande wangu au malipo baada ya kazi?
Naunga mkono hoja.Achana na kujitolea focus kwenye kujiandaa na interview na kuomba kazi serikalini kuingia lazima upige paper psrs zinahitaji competent person na pesa za kutosha
Fanya madili mtaa uku unasoma vby achana na utumwa usio na faida
Be a man.
ASANTE KWA USHAULI MKUBWA.Achana na kujitolea focus kwenye kujiandaa na interview na kuomba kazi serikalini kuingia lazima upige paper psrs zinahitaji competent person na pesa za kutosha
Fanya madili mtaa uku unasoma vby achana na utumwa usio na faida
Be a man.
Asante chief...Naunga mkono hoja.
Asante kwa mchango incharge..ila wanasema private ndo pagumu zaidi ukute msamimizi ( cashier) ni mmiliki, mtoto wake au ndugu yakeKujitolea serikalin ni utumwa Bora ukajitolee private unaweza ukapata ata ela ya sabani uku unapiga na mishe zingiΓ±e za kitaa
Apo mkubwa nijipange zaid na interview sio?ASANTE KWA USHAULI MKUBWA.
Apo kwenye pesa za kutosha upande wangu au malipo baada ya kazi?
Asante chief...
Diploma ya Clinical Medicine ukiajiriwa serikalini unakua umesaini mkataba wa umas
Mkubwa tatizo ni CONNECTION ya makumpuni binafsi nikahisi endapo nitakua eneo la taaluma niliyosomea inaweza ongeza probabilities katika kupata ajira private sector uku nikisubili BARAKA ZA MUUMBA.Diploma ya Clinical Medicine ukiajiriwa serikalini unakua umesaini mkataba wa umaskini
So far soon nta apply kupata leseni na kuregester pia maana nilikua bado nazichanga huenda ikaongeza probabilities katika kupata site ya kupata RIZIKI ya kujikimuPambana kitaa huku unasikilizia hizo ajira unazotaka me nimepiga medical lab nimefanya dispensary nying sana kaz ila sa hv nimeachana nazo nipo tu kitaa napiga mambo mengn
Diploma ya Clinical Medicine ukiajiriwa serikalini unakua umesaini mkataba wa umas
Vipi kwa changamoto ulizokutana nazo chief?Pambana kitaa huku unasikilizia hizo ajira unazotaka me nimepiga medical lab nimefanya dispensary nying sana kaz ila sa hv nimeachana nazo nipo tu kitaa napiga mambo mengn
Natafuta pa kuanzia chief..AJIRA sio AGANO, life is all about success not committment ILA ASANTE KWA MCHANGO MHESHIMIWAπDiploma ya Clinical Medicine ukiajiriwa serikalini unakua umesaini mkataba wa umaskini
Jaribu hospital za taasisi hasa za diniNatafuta pa kuanzia chief..AJIRA sio AGANO, life is all about success not committment ILA ASANTE KWA MCHANGO MHESHIMIWAπ
π€£π€£π€£ Acha kunisthua wamefanyeje tena,π€£Kuna wenzako wa city college nilikutana nao juzi nilipoenda kung'oa jino hapo hospital ya wilaya ππππ niishie hapa tuu...πππ
Kawaulize π₯΄π₯΄π₯΄π€£π€£π€£ Acha kunisthua wamefanyeje tena,π€£
Jaribu hospital za taasisi hasa za dASANT
ASANTE..apo nidiili na ROMAN CATHOLIC NA KKKT ILA ISLAM SINA UENYEJI ZAIDI MAANA ATA DINI YANGU NI RC.Jaribu hospital za taasisi hasa za