Mulimila dole
JF-Expert Member
- Jul 15, 2016
- 226
- 266
Natauzingatia ushauri wako mkuuChukua wish ninayo naifurahia ipsum inalamba mafuta hasa new model cc 2300
Asante sana kwa ushauriWish nzur chukua wi
Na hyo wish uwe huna matembez nayo kwenye rafu road kumbuka iko chin sana kwa mbele angalia nying zilivyopondeka pondeka,,,,Wakuu
Nina ndoto ya kumiliki gari yangu kabla ya tarehe 1 AUGUST haijalishi kama nitaagiza au kumvua mtu yote sawa Bajeti yangu ni Milioni 8. Naomba ushauri kwani nimevutiwa na Toyota IPSUM, Toyota Wish na Toyota ISIS. Gari hizi nimezipenda kwa muonekano na nafasi yake ndani ya gari lakini sijui chochote kinachohusiana na matatizo hasa ya kiufundi na upatikanaji wa spare parts zake.
Vipi ulaji wa mafuta kwa kulinganisha kila moja maana mimi ni wale wale wabeba vidumu kwenye magari.
Natanguliza shukurani
nawasilisha
Ni kweli inakunywa sana mafuta lakini ipo comfortable sana.Chukua wish ninayo naifurahia ipsum inalamba mafuta hasa new model cc 2300
Gaia umepoint mana n gharama nafuu kwa kila kitu na ni imara sana,,,, ila kama n kijana wa show off achukue wish ila aijitahid kuitunza mana ile n kama mkate ulotiwa ktk chaiMkuu zote ni nzuri kwa space na comfortability.Hutajutia.Jaribu na Gaia
Asante Kassimneema kwa ushauri maana ninakoishi ni madongo kwinama. Nitaufanyia kazi ushauri wakoNa hyo wish uwe huna matembez nayo kwenye rafu road kumbuka iko chin sana kwa mbele angalia nying zilivyopondeka pondeka,,,,
Asante kwa kunipa wazo la Gaia nilikuwa sijaifikiria. Kwa vile umeniambia sifa zake acha niipitie mimi natafuta gari comfortable wale mie si kijana hivyo hayo mambo ya Show off nawaachia wavaa miregezoGaia umepoint mana n gharama nafuu kwa kila kitu na ni imara sana,,,, ila kama n kijana wa show off achukue wish ila aijitahid kuitunza mana ile n kama mkate ulotiwa ktk chai
Kwa hiyo huu ujumbe ulotuma kwangu ndiyo utanisaidia kutafuta gari ninayotaka? Tumia imani yako kwa hekima "Jesus is our savior,accept Him today Re: Ushauri wa gari" .Hizi imani nyingine Bwana hadi zimekuwa keroNitafute kwa email yangu..clavingod@gmail.com