baby nillaah
Senior Member
- Apr 7, 2017
- 110
- 64
Habari za wakati huu wanajamvi ,naomba mnipe USHAURI je mi wapi patanifaa kwenda kuzichanga changa kutokana fursa zilizopo eneo husika kati ya Dom au dar ni wapi Kuna unafuu wa gharama za maisha...... ahsante nawasilisha
AhSante,japo hujafafanua vizuri mkuu.dar usije
Dar es salaam kuna unafuu kuliko Dom hilo liko wazi,Dom utakuta nyumba ya kawaida kabisa ambayo Dar ungeipata kwa 30 hadi 40 utashangaa kule 50 hadi 60 na hata chakula Dom ni ghali mno kuliko Dar..Pia Dom usafiri ni changamoto sana unaweza ukawekwa stend saa limoja na nusu unasubiri gari tu na wenyewe wanaona kawaida eti..Habari za wakati huu wanajamvi ,naomba mnipe USHAURI je mi wapi patanifaa kwenda kuzichanga changa kutokana fursa zilizopo eneo husika kati ya Dom au dar ni wapi Kuna unafuu wa gharama za maisha...... ahsante nawasilisha
Ahsante... Kuna mtu pia ananambia Dom vyumba ghari sanaa..Dar es salaam kuna unafuu kuliko Dom hilo liko wazi,Dom utakuta nyumba ya kawaida kabisa ambayo Dar ungeipata kwa 30 hadi 40 utashangaa kule 50 hadi 60 na hata chakula Dom ni ghali mno kuliko Dar..Pia Dom usafiri ni changamoto sana unaweza ukawekwa stend saa limoja na nusu unasubiri gari tu na wenyewe wanaona kawaida eti..
SanteDodoma hapana, hupawezi na hapakufai. Dar ndio kila kitu, michongo ipo mingi, watu wapo wengi, jiji limechangamka masaa 24, kila kona kuna fursa ya mzunguko wa pesa. Na Dar hakuna mwenyewe, kila mtu ni mwenyeji.
Ndio ipo hivyo,kule zaidi ya vumbi hakuna ishu,wewe huoni enzi zile Magu kafanya declaration ikulu iwe Dom lakini kila siku alikuwa haishi kuja Magogoni kula upepo wa bahari ya Hindi..Ahsante... Kuna mtu pia ananambia Dom vyumba ghari sanaa..
Ujasiriamali mdogo mdogo mradi tuNjoo Dar mzee. Achana na Dodoma. Unataka kuja fanya issue gani?
Kama kilimo baki uko uko Ilula.
Dar mkuu.Ujasiriamali mdogo mdogo mradi tu
Maisha yaende.
Ahsante sanaaa....Nmepata na muongozo Incase nakuja huko mjini basi najua how to startDar mkuu.
Kila biashara huku inalipa. Kikubwa umakini na juhudi.
Ingawa kama una mwenyeji ingekua poa zaidi maana unahitaji mwezi mmoja wa kujua eneo zuri la biashara yako, na mahala utakapokua unatoa mzigo na mahali utakapo kaa (kodi chumba).
Kama mwenyeji poa zaidi. Atleast unaweza jua jinsi utakapoanzia.
Maeneo kama Sinza unaweza pata hadi chumba kwa 50-70 kwa mwezi ingawa kuna michango kama Maji, umeme na usafi inaweza fika 20 kwa mwezi, hafu biashara zako ukawa unafanya Mawailiano, hadi Mwenge. Hapo ata dala dala haupandi unatembea tu.
Kama bishara zako haziitaji fremu unaibuka Kariakoo ingawa uko itabidi ukakae nje ya mji kidogo kule nyumba hazigusiki.
Karibu sana mzee baba waambie wakazi wa Ipogoro Kihesa Ilula Kidamali Kalenga hadi TRM wakuombee.
Nashukuru kaka nitalifanyia kazi ..Dogo nakushauri pia angalia fulsa mikoa nje na hiyo, usikimbilie majiji makubwa sababu nje ya hapo kuna fulsa zinasubiri wadau kama wewe.
Njoo jiini Dsm mkuu fursa ni nyingi sana mkuu karibu sanaAhsante sanaaa....Nmepata na muongozo Incase nakuja huko mjini basi najua how to start
Dar upatikanaji wa Hela ni rahisi na hata Vyakula vya Bei nafuu vipo ila Dodoma ni pazuri ukiwa na Kazi kwani upatikanaji wa Vyakula ni mkubwa zaidi.Habari za wakati huu wanajamvi ,naomba mnipe USHAURI je mi wapi patanifaa kwenda kuzichanga changa kutokana fursa zilizopo eneo husika kati ya Dom au dar ni wapi Kuna unafuu wa gharama za maisha...... ahsante nawasilisha