Asikudanganye mtu, issue kama hizi hutakiwi kuchukulia jazba wala ulaini ulaini...Nina mwanangu wa kike kamaliza kidato cha nne mwaka huu kafaulu vizuri kwa div 1 kali tu...! Lakini cha ajabu amegoma kata kata kwenda shule akidai anataka kuolewa, na amemleta huyo mchumba hadi nyumbani ili taratibu zingine zifuate.
Mpaka nakuja kuomba ushauri hapa jua nimeshafanya yote hayo....! Na hayajazaa matundaPole ila kama vile na wewe hueleweki vile!! Anyway, muache akasome, ukoo mzima hakuna Watu wazima wa kuongea nae? Kumuelimisha??
Hapa nawaza labda kumshtaki na kumchukulia hatua yule kijana anayemdanganya, pengine inaweza kuleta unafuuDuh huyo binti yako alishaionja dudu anahisi akienda kusoma atampata wapi
Mkuu umeniacha njia upande kwa kweliAsikudanganye mtu, issue kama hizi hutakiwi kuchukulia jazba wala ulaini ulaini...
Zingatia yafuatayo...
1. HAIWEZEKANI mtoto mwenye Div I agome kuendelea na masomo eti ili aolewe...
2. HAIWEZEKANI kutumia mamlaka ya wewe kuwa mzazi kumlazimisha aendelee na masomo badala ya kuolewa.
Unadhani nimejichanganya? HELL NO, I want you to be smarter kuhakikisha anaendelea na masomo huku akizipa bye bye ndoto za kuolewa kwa moyo mkunjufu...
Nitakuja kufafanua baadae kidogo lakini ngoja nikupe hint moja wapo...
UKITAKA KUUA MBWA, MPE JINA BAYA....
NOTE: Don't target your future father inlaw moja kwa moja coz' it won't work!
Toa ushauri hapa ntaufanyia kazinipe namba zake nimshauri
Huyo anaakili usimkatalieWakuu habari za wakati.....!
Unaambiwa kwa mwenzako sikia ila omba yasikukute, Mimi yamenikuta na ni kitu ambacho sikuwaza.....! Iko hivi
Nina mwanangu wa kike kamaliza kidato cha nne mwaka huu kafaulu vizuri kwa div 1 kali tu...! Lakini cha ajabu amegoma kata kata kwenda shule akidai anataka kuolewa, na amemleta huyo mchumba hadi nyumbani ili taratibu zingine zifuate.
Sasa wakuu nimeshauri na kumsihi sana aachane na mawazo hayo azingatie masomo lakini imeshindikana....!
Na hasa ukizingatia ni mtoto wa kike, nimeona haina haja ya kumlazimisha sana kitu ambacho hataki..! Maana hata nikimzuia ipo Siku ataolewa tu....! Ngoja nimuache aende kupambana kwa alichokiamua...!
Ila wasi wasi wangu kama nikiamua kukubali kumuoza vipi siwezi kuchukuliwa hatua kwa kuruhusu aolewe akiwa amefaulu? Na ndo kwanza ana miaka 18, namuona bado mdogo kuingia kwenye ndoa...! Nashangaa ujasiri wa kulazimisha kuolewa kautoa wapiii....!
Sheria inasemaje kuhusu msichana aliyemaliza kidato cha nne akaamua kwa hiari asiendelee na shule, na kuamua kuolewa? Ushauri wenu muhimu sana wakuuu
Sawa sasa toa ushauri wako mkuuKeshaonjeshwa dudu huyo!
Ndio nimeamua kumuacha aolewe lakini vipi sheria inasemaje kuhusu hilo? Siwezi kuletewa usumbufu kwa kuruhusu binti aliyefaulu kuolewa? Maan huwa nasikia Visa huko mikoani mara mkuu wa wilaya wakamata wazazi kwa kuoza binti yao badala ya kumpeleka shulehuyo anaakili usimkatalie
Sio chai mkuu, ndio maana nimesema omba yasikukuteChai hi mtot anaoletee bwan kwa umr huo nawatoa nduki na kibwan chake