Nimepata kazi sehemu mbili tofauti yaani TANROADS NA TAA tanroads scale 5 NA TAA scale ya Taa scale 6 sasa kwa hizi skeli IPI ni shirika zuri kwa malipo nikasaini mkataba mtakaoniongoza mungu awatangulie kwenye shughuli zenu!
Hongera mkuu ila ungetaja kaz zip ulzoitwa ktk hz taasisi 2 il mtu akupe mawazo kwa mapana na marefu kwa kuangalia na kaz za pand h na ile,mana hawa jamaa walitangaza post tofaut tofaut