hehehe huwa nakwambia jirani yako hafai! umeona sasa matokeo yake alichokufanyiaNaomba kufahamishwa juu hatua za kuchukua ilikuweza kupata huduma ya DNA test kwa nchi yetu(TZ) gharama zake na hospitali gani zinatoa huduma hiyo? Natanguliza shukrani
Achana kabisa na hiyo kitu, endelea kulea mwanao, kitanda hakizai haramuNaomba kufahamishwa juu hatua za kuchukua ilikuweza kupata huduma ya DNA test kwa nchi yetu(TZ) gharama zake na hospitali gani zinatoa huduma hiyo? Natanguliza shukrani
[/QUOTE]Hapana mkuu, Mimi ni muuguzi kwaiyo kuna wakati hua naombwa ushauli juu ya hilo suala. Lkn namimi napenda kuyafamu tu
Yeah nafikiri kila kanda yupo...kaskazini..kati..kanda ya ziwa na ya nyanda za juu kusiniAsante Mkuu,ila huyo mkemia mkuu simpaka dsm tu,? Au hata huku mikoani wana mawakala!
Mi nijuavyo Ana office yake inajitegemea na haipo kwenye regional hospital kwa huku nilipoOfisi zao zinakua kwenye regional hospital? Au wap mkuu
upo kanda ipi/mkoaUnaweza kunisaidia contact zao Mkuu? Maana ningependa kuwasiliana nao
SASA FANYA KWENDA DAR MKUU..UTAPATA MSAADA MKUUTanga