Ushauri juu ya Toyota Noah na Toyota Voxy

Ushauri juu ya Toyota Noah na Toyota Voxy

activemedia africa

Senior Member
Joined
May 28, 2013
Posts
141
Reaction score
26
Habari Wadau.

Naishi Dar, Nahitaji kujua tofauti kati ya Toyota Noah na Toyota Voxy, nahitaji kununua gari moja kati ya hizo.

Sina uzoefu nazo na ningependa kujua kuhusu ubora, ulaji wa mafuta, gharama za service na kitu kingine chochote cha msingi kuzingatia ili niamue lililo bora kati ya Toyota Noah na Toyota Voxy.

Natanguliza Shukrani
 
Habari Wadau.

Naishi Dar, Nahitaji kujua tofauti kati ya Toyota Noah na Toyota Voxy, nahitaji kununua gari moja kati ya hizo.

Sina uzoefu nazo na ningependa kujua kuhusu ubora, ulaji wa mafuta, gharama za service na kitu kingine chochote cha msingi kuzingatia ili niamue lililo bora kati ya Toyota Noah na Toyota Voxy.

Natanguliza Shukrani

NOAH second generation iko sawa na VOXY almost kila kitu.....kuna tofauti ndogo tu kwenye design ya mbele ila ndani zote ziko sawa.

Noah iko juu kidogo kuliko Voxy kwahio kama unakaa sehemu yenye matuta Noah ni bora zaidi. Engine ziko sawa kwahio ulaji wa mafuta ni sawa.

column_166_01.jpg
 
tofauti ipo kubwa sana inategemeana unasema noah ya aina gani?! kuna aina kama 3 za noah
kuba noah ya engine ya diesel kuna noah ya engine ya 3s na noah ya engine ya 1AZ FSE hii ndio hufanana kila kitu na voaxy isipo kuwa tofauti yake ni ndogo sana kwenye show ya mbele na taa za mbele.
voxy ni aina 1 tuu.

ushauri ni aina ipi ununue kibongo bongo mm nakushauri nunua noah yenye engine ya 3S FE hii engine ni roho ya paka sana matengenezo yake yako powa sana sio gari na huwa haizingui na uraji wake wa mafuta iko powa lkn body yake huwezi ifananisha na noah yenye body kama ya voxy au yenye engine ya 1AZ FSE.

lakini kama ww ulikuwa unazungumzia noah.ambayo inabody kama ya voxy hapo ni ww tu angalia itakayo kufurahisha machoni mwako kimuonekano wa body na show voxy imekaa powa zaidi kuliko noah.voxy ipo kimayai yai zaidi lkn zaidi ya show ya mbele hakuna tofauti nyingine yoyote kuanzia engine mpaka vipuli..

ila kumbuka engine za 1AZ FSE ni za d4 so shida kubwa ni kwenye mafuta mkuu hazitaki mafuta ya magumashi yaani unaweza ukawa umeinunua.leo hii umefika.sheli umejaza mafuta yakimagumashi hapo hapo inaanza miss balaaa na utaichukia daima.
so na mwisho wa siku huwa zinafungwa engine ya 3S FE ambayo hufungwa kwenye noah.zile old model.
kazi kwako
 
Sangaedo umaskini huo,unanunua Gari kisa uliuze kwa urahisi
 
Mkuu umechambua vizuri sana, vp kuhusu 4wd noah, nini shida take, na je, ipo noah ya 4wd yakuingiza manual na si outo?
 
Mkuu umechambua vizuri sana, vp kuhusu 4wd noah, nini shida take, na je, ipo noah ya 4wd yakuingiza manual na si outo?

mkuu noa za 4wd zipo nyingi tuu.
naona kwa upande wangu gari za 4wd ziko powa zaidi ya 2wd.
na juu ya manual zipo ndio nyingi tuu watengenezaji wanapotengeneza gari huwa wanatengeneza manual na automatic lakini asilimia 80 ya wanao agiza magari wanaagiza automatic.
na wengi wanapenda sana gari automatic lakini mm ukinizliza au ukiniomba.ushauri juu ya aina ipi inafaa nitakwambia kwangu.gari ya manual ndio kila kitu.coz hata ulaji wake wa mafuta unaucontrol mwenyewe kwa kigezo.cha kuendesha,kuchange gia.
 
Back
Top Bottom