E ELNEY Senior Member Joined Aug 10, 2017 Posts 106 Reaction score 48 May 6, 2018 Thread starter #21 Jini Kisiranii said: Unamfukuza ni mwongo huyo Click to expand... Hapo pana ukweli mana hata kucheat rahisi sanaa
Jini Kisiranii said: Unamfukuza ni mwongo huyo Click to expand... Hapo pana ukweli mana hata kucheat rahisi sanaa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,688 Reaction score 197,340 May 6, 2018 #22 Ukiona mwanamke anakuambia yeye bikra s.ex ni mpaka ndoa ujue either hakutaki au hajavutiwa na wewe... Au anakuona kabisa utampotezea muda wake... Cc: mahondaw
Ukiona mwanamke anakuambia yeye bikra s.ex ni mpaka ndoa ujue either hakutaki au hajavutiwa na wewe... Au anakuona kabisa utampotezea muda wake... Cc: mahondaw
E ELNEY Senior Member Joined Aug 10, 2017 Posts 106 Reaction score 48 May 6, 2018 Thread starter #23 Smart911 said: Ukiona mwanamke anakuambia yeye bikra s.ex ni mpaka ndoa ujue either hakutaki au hajavutiwa na wewe... Au anakuona kabisa utampotezea muda wake... Cc: mahondaw Click to expand... Hilo nao neno lakini mbona nikiwa mbali na yeye huwa anaumia sana na ana wivu sana na mm huwa hataki kuwa mbali na yeye
Smart911 said: Ukiona mwanamke anakuambia yeye bikra s.ex ni mpaka ndoa ujue either hakutaki au hajavutiwa na wewe... Au anakuona kabisa utampotezea muda wake... Cc: mahondaw Click to expand... Hilo nao neno lakini mbona nikiwa mbali na yeye huwa anaumia sana na ana wivu sana na mm huwa hataki kuwa mbali na yeye
MILL8 JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 1,836 Reaction score 881 May 6, 2018 #24 hivi unweza kukubali kulishwa tango pori
E ELNEY Senior Member Joined Aug 10, 2017 Posts 106 Reaction score 48 May 7, 2018 Thread starter #25 MILL8 said: hivi unweza kukubali kulishwa tango pori Click to expand... Kivipi mkuu
Phenomenal woman JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 334 Reaction score 654 May 7, 2018 #26 Wanao subiri ndoa nao wana mamboooo kubebesha mtoto wa mwenzio mbuzi kwenye gunia....me mdogo wangu akinshirikisha siruhusu habari za kusubiri ndoa.....x
Wanao subiri ndoa nao wana mamboooo kubebesha mtoto wa mwenzio mbuzi kwenye gunia....me mdogo wangu akinshirikisha siruhusu habari za kusubiri ndoa.....x
Agamemnon Senior Member Joined Mar 28, 2018 Posts 127 Reaction score 324 May 7, 2018 #27 unaomba bikra nyingine yoyote aliyonayo ata kama ni ya masikio alafu unapiga chini mazima