Za kuambiwa changanya na zako
HahaaaaaKabisa mkuu
Suala utachukua uamuzi gani kama ukikuta tofautiMkuu ngoja waje waliokubali kuvumilia mpaka ndoa walipoambiwa na wapenzi wao mabikra.
Mimi binafsi siwezi hiyo kazi ya kusubili mpaka ndoa. Ngoja waje na majibu.
Duuu...ila bado jibu sahihi kwamba ukikuta sio bikra na wakati umeshaoa utachukua uamuzi ganiUtaamua unaloona linafaa kwako,ila mm nilioa niliyembikiri ndo niliemuoa,ila sikusubiri ndoa
Suala utachukua uamuzi gani kama ukikuta tofauti
Siku zote ushauri uhusio mahusiano muhusuka hua ana jib tayar so anachotafuta ni kuidhinishiwa maamuz yake,kama umenielewa nmesema uamuz wa kuamua ni wako,na ukimuacha jiulize umeshatembea na wangap ambao hawakua bikra na ukawaacha? Na ukiendelea nae muulize why ulinidanganya so kila kitu bado kitarud mkonon mwako,,so ni ww pekee kuamua maana ndo mke wko hyo[emoji41]Duuu...ila bado jibu sahihi kwamba ukikuta sio bikra na wakati umeshaoa utachukua uamuzi gani
Kwaio hapo tayari yeye lengo lake la kuolewa kwa mpango wa bikra ume winKwa vile ni ndoa Haina budi kuienzi ndoa yangu japo kadanganya, uamuzi wangu utakuwa ni kukaa na mke wangu tu basi.
Sawasawa chief nimekuelewaSiku zote ushauri uhusio mahusiano muhusuka hua ana jib tayar so anachotafuta ni kuidhinishiwa maamuz yake,kama umenielewa nmesema uamuz wa kuamua ni wako,na ukimuacha jiulize umeshatembea na wangap ambao hawakua bikra na ukawaacha? Na ukiendelea nae muulize why ulinidanganya so kila kitu bado kitarud mkonon mwako,,so ni ww pekee kuamua maana ndo mke wko hyo[emoji41]
Ofcoz inakuwa yes mkuu anakuwa kafanikiwa 100%Kwaio hapo tayari yeye lengo lake la kuolewa kwa mpango wa bikra ume win
Mana mimi huyo binti wa kiisilamu dini ipo sana sema ndio masharti hayo mpaka ndoa ila kubadili dini kwa ajili yangu yupo tayari sasa bado siamini kama bikra bado au ndio a natafuta ndoaOfcoz inakuwa yes mkuu anakuwa kafanikiwa 100%
Na kwa mm mpango wangu bado almost kama miaka miwili baadae kuoaOfcoz inakuwa yes mkuu anakuwa kafanikiwa 100%
Ndoa nataka sasa sio Kwa sasa ila kukaa mpaka nije kuoa ndio nile papuchi hapo ndio mtihani mbaya sana kusema yeye bikraMkuu we unataka papuchi utaki ndoa wewe
Unamfukuza ni mwongo huyoDuuu...ila bado jibu sahihi kwamba ukikuta sio bikra na wakati umeshaoa utachukua uamuzi gani