J John porter Member Joined Jul 8, 2013 Posts 65 Reaction score 28 Nov 5, 2015 #1 Habari zenu, Nimepanga kununua Nikon D3200 hivyo kwa mwenye uzoefu nayo tafadhali naomba ushauri. Ndio naanza kujifunza kupiga picha.
Habari zenu, Nimepanga kununua Nikon D3200 hivyo kwa mwenye uzoefu nayo tafadhali naomba ushauri. Ndio naanza kujifunza kupiga picha.
Mu7 JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 1,655 Reaction score 2,003 Nov 5, 2015 #2 Mie pia ningeomba mtu aniambie ni ipi camera nzuri kati ya Nikon D3200 na D3100.
abuu garcia JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 227 Reaction score 408 Nov 5, 2015 #3 Nazani uzuri wa kamera uko kwenye lens na kila lens in matumizi yake kutokana na maitaji yako
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,454 Reaction score 1,569 Nov 5, 2015 #4 No comment