Duuh ama kweli common sense is not common,
yani mtu anasema its better kununua ups badala ya kununua battery? sasa wazungu si wangekuwa wanaleta laptop zimefungwa ups.
Laptop yangu inakaa bila umeme kwa masaa manne, then mtu anatoka huko alikotoka anasema ups ni better dhani batri ya laptop?
ukiangalia bei hapo juu jamaa kataja kuanzia laki nne unusu, mpaka 70, betri ya laptop ni 70k, laptop ya bwana
HYGEIA hata bei yake inazidiwa na bei ya iyo ups.
mfano unataka kutoka sehemu ulipokaa unahamia sehemu ingine let say chumbani unakuja sebuleni, unabeba ups unatoka nayo au inakuwaje?
tusibishane kwa sababu tunaweza kubishana, tubishane na facts.
mimi nimezungumzia kuhusu bei, portability, na hata utunzaji wa chaji.
nyie mnaobisha badala ya kumshambulia mtu, shambulia hoja yake with facts.