2. Carina TI used hapa TZ with good condition reg number inaanza na C (amehakikishiwa na fundi)
a) imefungwa rim sport na muuzaji
b) ina kamera ya kuonyesha riverse kafunga muuzaji
c) ameweka radio yenye screen. Inplay DVD.
d) imetembea km 127,000
e) spoiler ya kuja na gari.
f) haijawahi kuguswa injini zaidi ya kufanyiwa service ya kawaida.
g) anauza 8m
Ushauri wenu unaombwa sana. Bajeti yake maximum ni 8m.
Gari ikiwa na CC,nchini ya 1000 ni matatizo matupu,huwezi kwenda nayo umbali mrefu.Nawashukuru kwa ushauri wenu wapendwa.
Ukiagiza Japan ina bei gani ifike mkononi maana hii uko poa zaidiWapendwa rafiki yangu ameingia dilema. Anaomba ushauri juu ya uchaguzi wa gari ya kununua kati ya hizi option mbili alizonazo
2. Carina TI used hapa TZ with good condition reg number inaanza na C (amehakikishiwa na fundi)
a) imefungwa rim sport na muuzaji
b) ina kamera ya kuonyesha riverse kafunga muuzaji
c) ameweka radio yenye screen. Inplay DVD.
d) imetembea km 127,000
e) spoiler ya kuja na gari.
f) haijawahi kuguswa injini zaidi ya kufanyiwa service ya kawaida.
g) anauza 8m
Ushauri wenu unaombwa sana. Bajeti yake maximum ni 8m.
TI ni nzuri zaidi, ila aulizie hiyo model japan anaweza ipata kwa sh ngapi maana kwa m8 na gari namba c bei ipo juu kidogo,Wapendwa rafiki yangu ameingia dilema. Anaomba ushauri juu ya uchaguzi wa gari ya kununua kati ya hizi option mbili alizonazo.
1. Anunue VITZ kutoka japani
a) year of make 2000
b) imetembea km 71,000
c) ina cc 990
d) inauzwa shs 7.6m mpaka anaishika mkononi lakini bila bima, ambayo atakata mwenyewe
2. Carina TI used hapa TZ with good condition reg number inaanza na C (amehakikishiwa na fundi)
a) imefungwa rim sport na muuzaji
b) ina kamera ya kuonyesha riverse kafunga muuzaji
c) ameweka radio yenye screen. Inplay DVD.
d) imetembea km 127,000
e) spoiler ya kuja na gari.
f) haijawahi kuguswa injini zaidi ya kufanyiwa service ya kawaida.
g) anauza 8m
Ushauri wenu unaombwa sana. Bajeti yake maximum ni 8m.
Nashukuru kwa ushauri wako mzuri mkuu.TI ni nzuri zaidi, ila aulizie hiyo model japan anaweza ipata kwa sh ngapi maana kwa m8 na gari namba c bei ipo juu kidogo,
Kama ni mtu wa masafa mwambie aachane na hiyo vitz bora aongeze ela anunue carina
Nashukuru mkuu kwa ushauri wako.Ukiagiza Japan ina bei gani ifike mkononi maana hii uko poa zaidi
Kama kaikagua na fundi ni nzima kila achukue ilaza mkononi sometime zinakuwa na shida boss
Aulize kuuliza bei kwa kuagiza
Hii IST bei gani baba??
7.5M. Mwambie ashtuke hyoo.
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Aambiwe, nimeipenda sana tahadhari yako.
7.5M. Mwambie ashtuke hyoo.
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Ila we jamaa umeamua tu kutulingishia hauwezi kuachilia mchuma huo kwa bei hiyo.
7.5M. Mwambie ashtuke hyoo.
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Oyaa hiyo gari unauza iyo bei au vp
7.5M. Mwambie ashtuke hyoo.
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.