eliudy josephy naamany
Member
- Sep 1, 2016
- 27
- 4
Habar wana jamii mm nilimaliza kidato cha nne mwaka 2015 na kufaulu masomo haya CIVICS. C
HISTORY. C
GEOGRAPHY. C
ENGLISH. C
BIOLOGY. C
CHEMISRY. C
PHYSICS. F
MATH'S . F
na advance nilipangiwa kombi ya arts yan HGL nilipo fanya aplication NACTE nilikuta nimepangiwa ualimu shule za msingi ila kwa wimbi la ualimu lilivyo sasa iv naogopa nilikuwa nauliza
A) nikasome tu ualimu
B) kama kuna uwezekano wa kuhama chuo na kuhamia coz ya phamace
C) je wap zaid patakuwa na upatikanaji wa ajira mapema
SHUKRAN WASOMI NATARAJIA USHAUR Mzur asanten......