zhang laoshi
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 425
- 551
Nimemaliza masters ya public management nje ya nchi, nimerudi Tanzania tangu mwaka jana mwez wa 8, nimekumbana Na janga hili la ajira kusitishwa nimekaa home sina ishu ya kufanya pia niliunga masters cjawah kufanya kaz Na nilimaliza bachelor ya community development.
Now mmoja wa prof wangu aliyenisimamia research wakati nipo nje ananiita nikasome Phd, nipo njia panda je nisubiri mpaka ajira zifunguliwe? Or niondoke nikapige Hiyo Phd then sina experience ya kazi. Asanten