Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,870
- 2,122
Duh! kwa hiyo inahit sana?
- Haifai kabisa haina ac
Hazina Ac kivipi? zingewaka?
- Haifai kabisa haina ac
Air conditionerHazina Ac kivipi? zingewaka?
Watoto Kivipi? mkuuNyie watoto msiharibu jukwaa la tec
Zina Matatizo Kiufundi au zina wateja wachache bado?Ungeweka na budget yako kwanza
Ila kwa ushaur mzur ni bora ununue brand kubwa ndio zenye customers support nzur.. Naongelea LG, samsung, Sony na kidgo TCL kwa low budget anakufaa
Ni tv zenye afadhal kwa bei ndgo kulko hyo michina mingine.. TCL anauza sana huko AmericaZina Matatizo Kiufundi au zina wateja wachache bado?
Duh HatariUshaskia TV yenyewe inaitwa Boss unatarajia nini?
Ushauri wangu wa bure: HAZIFAI.
Asante, Miaka Mitatu, Ishaendelea haki hiyo ngoja nivuteNunua, ziko vizuri, mine has been going strong ni mwaka wa 3 sasa. Nashauri ununue from a reliable vendor sio briefcase machinga ili uhakikishiwe after sales service na warranty kama kawaida ya ununuzi wa domestic appliances. Best wishes
Kanunue tcl kama hela mzozo.. Hiyo boss utakuja kuliaAsante, Miaka Mitatu, Ishaendelea haki hiyo ngoja nivute