Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,022
Habari Wakubwa.
Karume ndo zile za mule ndani au zina muda maalum.wa kujihimu asubuhiNijuavyo ni Karume kwa ku point na mnazi mmoja kwa Balo..
Waje wajuvi hapa watuambie kwingine
Na vipi kama ninaweza kuamua kununua belo. Kuna ushauri wowote juu ya hiloNijuavyo ni Karume kwa ku point na mnazi mmoja kwa Balo..
Waje wajuvi hapa watuambie kwingine
Sio asubuhi sheikhe,Karume ndo zile za mule ndani au zina muda maalum.wa kujihimu asubuhi
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
Belo Bana ni ku beti,Na vipi kama ninaweza kuamua kununua belo. Kuna ushauri wowote juu ya hilo
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
Saa tisa si inabidi ulale karume sasa maana daladala utazipata kweliSio asubuhi sheikhe,
Ni usiku saa tisa, Nenda Asubuhi ukutane na kamba za viatu.
Bado haujaanza mkuu!!?Belo Bana ni ku beti,
Waweza ukutane na Ma raba kama ya Kangi Loba zima,
Mi mwenyewe nafanya survey maana nahitaji.
Wengi wanalalaga jirani.Saa tisa si inabidi ulale karume sasa maana daladala utazipata kweli
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
Mwezi huu Nachukua mzigo bila shaka,Bado haujaanza mkuu!!?
Raba ni kiatu kinachopendwa hasa mjini maeneo na hakinq jinsia
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
Kwa muda huo bei inaweza ikarqnge tsh!? Na inakuwa kwa siku ngapi!?Wengi wanalalaga jirani.
Kila siku mda huo wanafungua balo, Bei inaanzai buku 3 kupanda.Kwa muda huo bei inaweza ikarqnge tsh!? Na inakuwa kwa siku ngapi!?
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
Mimi nimefikiria mtumba na nimedhamiria kabisa hebu fanya kautafiti katika watu 10 wanaopita barabarani 7 hadi 8 wamevaa rabaMwezi huu Nachukua mzigo bila shaka,
Nimeweka special ila wengi wanaulizia mtumba.
Umetafiti na purchasing power ya hao wapitao... vp kuhusu financial status zaoMimi nimefikiria mtumba na nimedhamiria kabisa hebu fanya kautafiti katika watu 10 wanaopita barabarani 7 hadi 8 wamevaa raba
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
Ninawish nifanye sijajua kama kunaweza kuwa na changamoto ya financial statusUmetafiti na purchasing power ya hao wapitao... vp kuhusu financial status zao