Ushauri: Jk jiunge na twitter!

Ushauri: Jk jiunge na twitter!

Uswe

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,204
Reaction score
628
Tweeting ni njia inayotumika sana sasa hivi kupeleka ujumbe na kupokea ujumbe kutoka kwa watu, Hapo zamani ilikua ngumu sana kuwasiliana na wanasiasa wakubwa au celebrities lakini sasa, thanks to technology, ni kitu rahisi tu.

Si lazima kukaa katika PC, with well protected smart phone, Rais wetu anaweza akawa anawasiliana nasi moja kwa moja kupitia twitter, Kama ataamua kufanya hivi hata upotoshaji wa habari utapungua kwa sababu kila mtu atakua na uwezo wa kuingia na kuona kile JK anasema yeye mwenyewe (sio kupitia kwa wasaidizi wake).

Wapo marais kadhaa wanatumia twitter. Barack Obama amekua akitumia twitter, hii imemsogeza karibu sana na raia wa nchi yake, unapata habari fasta kuliko hata kabla hazijatangazwa na CNN, pia wananchi wanaweza kumwandikia moja kwa moja katika twitter account yake.

Zamani ilikua ngumu sana kuwasiliana na celebrities mbalimbali lakini leo ni rahisi tu 'ukim-tweet' rio ferdinand, au michael owen, au wayne rooney au Antonio Valencia anapata msg yako moja kwa moja nae anaweza kuku-RT, of course si mara zote unapata RT bse watu wengi wanawafatilia na wanawa-tweet lakini at least unaweza kuwasiliana nao moja kw moja.

Please our Lovely President join twitter ili tuwe tunapata updates live bila chenga kutoka hapo magogoni

Ubarikiwe!
 
sijui shabiki la Manchester hili........! unataja hao wachezaji ili iweje kwanini usingemtaja Mrisho Ngasa, J.kaseja....
 
Kaseja sijamtafuta, Ila ngasa nimemtafuta sana kwenye twitter sijamuona, kama unajua account yake ya twitter nisaidie plz, juma k juma, sina shida nae hata kama unajua address yake, nashukuru lakini hapana 🙂
 
Tweeting ni njia inayotumika sana sasa hivi kupeleka ujumbe na kupokea ujumbe kutoka kwa watu, Hapo zamani ilikua ngumu sana kuwasiliana na wanasiasa wakubwa au celebrities lakini sasa, thanks to technology, ni kitu rahisi tu.

Si lazima kukaa katika PC, with well protected smart phone, Rais wetu anaweza akawa anawasiliana nasi moja kwa moja kupitia twitter, Kama ataamua kufanya hivi hata upotoshaji wa habari utapungua kwa sababu kila mtu atakua na uwezo wa kuingia na kuona kile JK anasema yeye mwenyewe (sio kupitia kwa wasaidizi wake).

Wapo marais kadhaa wanatumia twitter. Barack Obama amekua akitumia twitter, hii imemsogeza karibu sana na raia wa nchi yake, unapata habari fasta kuliko hata kabla hazijatangazwa na CNN, pia wananchi wanaweza kumwandikia moja kwa moja katika twitter account yake.

Zamani ilikua ngumu sana kuwasiliana na celebrities mbalimbali lakini leo ni rahisi tu 'ukim-tweet' rio ferdinand, au michael owen, au wayne rooney au Antonio Valencia anapata msg yako moja kwa moja nae anaweza kuku-RT, of course si mara zote unapata RT bse watu wengi wanawafatilia na wanawa-tweet lakini at least unaweza kuwasiliana nao moja kw moja.

Please our Lovely President join twitter ili tuwe tunapata updates live bila chenga kutoka hapo magogoni

Ubarikiwe!

Yu[p twitter tayari:
jmrishokikwete Jakaya Kikwete
The Official Twitter Account Of H.E.Dr.Jakaya Mrisho Kikwete. The 4th President of The United Republic of Tanzania.
 
aaaaaaaaaah umeme will getback and check, thanks limbani
 
kuna kipindi niliingia kwenye FB yake nilikuta anashambuliwa vibaya mno utafiri kibaka tu kumbe raisi wa nchi...
 
Yu[p twitter tayari:
jmrishokikwete Jakaya Kikwete
The Official Twitter Account Of H.E.Dr.Jakaya Mrisho Kikwete. The 4th President of The United Republic of Tanzania.

sema ndio hivyo siji kama anaiupdates
 
Ana kipi cha kuwaambia wa TANZANIA hata ajiunge nayo?
Huyu jamaa hata ajiunge na mitandao tote awe anatuma tu hata sms ya kila tamko lake la siku atajaza muijumbe kwenye cm zetu na hatakua na uwezo wa kuyagusa mahitaji yetu kwa vitendo.
Kama kutuambia kishatuambia sana kwenye campaign ya mwaka jana na sasa sisi tunahitaji tuone utekelezaji wa vile alivyotuahidi.

Mshaurini kutenda zaidi na sio kuahidi zaidi.
 
Ukiwasiliana na kagame kwenye Twitter una uhakika wa kujibiwa siku hiyohiyo.
 
sure kagame yupo juu sana, unajua ndio rais wa kwanza kwa pande zetu kuanzisha e-government, sasa hawa wengine wa karne ya 19 afu bado wanang'ang'ania kuongoza wanatuchelewesha sana
 
kuna kipindi niliingia kwenye FB yake nilikuta anashambuliwa vibaya mno utafiri kibaka tu kumbe raisi wa nchi...

hahaaaaaa umenichekesha sana mkuu..kwanza computer yenyewe anajua huyu...watakuwa wanamshikia mouse
 
Back
Top Bottom