technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Habari wana bodi kwanza naomba nitoe ushauli kwa watanzania hasa wafuasi wa vyama vya upinzani .....
Migogoro inapotokea uwa ni fursa kwa watu wengine mfano tuliona watu walivyo piga pesa kwenye mogogoro Ya Tanzania na Rwanda kipindi cha Kikwete na mgogoro wa Nkurunzinza kipindi hicho .....
Kwa wale wenzangu waliosoma foreign affairs and economic diplomacy watanielewa ni jinsi gani uwa tunapiga pesa kupitia migogoro hii...
Kama sasa tunavyofanya kwenye mgogoro unaofukuta wa kibiashara kati ya Tanzania na Kenya......
Wakati watanzania wanapiga kelele wengine wapo busy kupiga pesa za bure naziita maana uwa hatutumii nguvu ......
Hiyo ni Conflict management through foreign affairs lakini turudi sasa nyumbani Tanzania kiukweli migogoro ya Ndani ya vyama kama inavyotokea ndani ya CUF uwa inasoviwa kirahisi sana .....
Wote mnaelewa nini kilikuwa kikitokea ndani ya ccm toka mwaka 1995 tulipoanza mfumo wa vyama vingi ambapo Nyerere alimkata live bila chenga Lowassa na kikwete kwa kusingizia kuwa Kikwete bado mdogo....
Badae kumtuma Mrema ndani ya NCCR mageuzi watanzania wakidhani kuwa Mrema alikuwa amechukia na kuama ccm ...
No walikua ni watu wa diplomasia na upelelezi ndio walitekeleza agizo ilo la Nyerere na Mwinyi .......
Sio kwamba ilitokea kwa Bahati mbaya kwa Mrema kwenda NCCR mwaka1995 au ilivyotokea kwa Lowassa kwenda Chadema mwaka 2015.
Huu mkakati ulikuwa umesukwa ili kutengeneza mgogoro mkubwa ndani ya upinzani ili ccm iendelee kutawala.......
Ndio maana Ccm uwa hakifi kwa sababu kinafanya ujasusi wa khali ya juu ndani ya vyama vya upinzani....
Hapo ndio unaona Lipumba Anachukua credit na hapa ndipo nataka niwashauri CUF na upinzani kwa ujumula njia sahihi ya kushugulikia mgogoro wa Cuf kwa vile watu waliopo nyuma ya mgogoro huu ni watu wakuu wawili
Kwanza ni ujio wa Sumaye na Lowassa ndani ya upinzani ambao uliwavuruga CUF na upinzani kwa ujumula....
Pili ni Ushawishi wa chama tawala ndani ya upinzani pamoja na nguvu ya kidola na kiuchumi walionayo....
Kwahiyo Seif na wenzie ambao kama wanataka kuumaliza mgogoro wao na Lipumba watumie polite diplomacy ambayo ni kumuacha lipumba na kumtangaza kama mwenyekiti wao halali na kusema wamekubali yaishe baadae wataanzisha vuguvugu ndani ya CUF na kupandikiza mtu wao kuja kugombea uenyekiti kwani naamini bado Seif yupo na Ushawishi mkubwa hivyo atahakikisha anamuunga mkono mtu Huyo anayemtii naamini mtu huyo akishinda na Seif atakuwa kashinda lakini kinje aonyeshe kumuunga mkono Lipumba
Na uo utakuwa ndio mwisho wa Lipumba ndani ya CUF na kisiasa kiujumula .....
Siamii Lipumba kama yupo na watu wengi zaidi ya Seif naamini Seif yupo na wafuasi wengi kuliko Lipumba lakini Lipumba ndiye kashikilia jembe kwenye makali.
Hakuna njia nyingine kumnyanganya fisi mnofu ndani ya Kinywa chake bila kumdanganyia Munofu badia pembeni yake...
Diplimasia ni muhimu Zaidi kuliko nguvu na ubabe .
Cuf ni muhimu kuliko mtu mmoja mmoja kama ilivyo Tanzania muhimu kuliko mtu yeyote sisi tutaondoka Tanzania itabaki.