segerea hakuna CUF mkuu
Ileje hakuna NCCR , CDM ndiyo yenye nguvu lakini amepewa NCCR...
Ni suala la maridhiano tu...
Tafakari...
Kwa heshima na taadhima nakiomba chama changu cha CHADEMA kikubali kumpa huyu Mwana harakati jimbo hilo na kwa jinsi alivyojipanga hilo jimbo litaenda UKAWA.
Nimeamua kutoa ushauri wa aina hii kutokana na uwezo mkubwa aliona katika kujenga HOJA katika kuchambua mambo ya kisiasa na kielimu. Hivyo nasi ingependeza zaidi kwenye bunge lijalo awe miongoni mwa wabunge machachari katika bunge la jamhuri ya Tanzania.
segerea hakuna CUF mkuu
Ileje hakuna NCCR , CDM ndiyo yenye nguvu lakini amepewa NCCR...
Ni suala la maridhiano tu...
Tafakari...
CUF ya nini tena wakati ukawa ni muunganiko!! au kiinimacho?segerea hakuna CUF mkuu
Jimbo hilo keshaandaliwa mwanasiasa nguli Makongoro Mahanga. Sisi tunachagua chama, si mgombea kwa hiyo atapita tu. Tumwache Edo na watu wake nao wapate majimbo ili mafuriko yaendelee.