Ushauri: Je, Niombe Kazi UDOM?

Ushauri: Je, Niombe Kazi UDOM?

Future president

Senior Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
144
Reaction score
39
Leo gazeti moja wametoa tangazo la kazi kule chuo cha UDOM, sasa kuna mdau ameniomba ushauri kwamba je atume maombi ya kazi au aachane nao, mana amesoma post nyingi zinazohusu UDOM kwamba kuna udini kwahiyo anapata kigugumizi cha kupost.
 
Uoga wako ndo umasikini wako. Kwani kila anayetuma ombi la kazi hupata? Ni wewe mwenyEwe wala si rafiki yako, acha uj.in.ga wewe na udini wako.
 
jamani aliyeona kazi za academic naomba atupie hapa mana nimeingia udom.ac.tz nimekutana na nafasi za administrative peke yake
 
Leo gazeti moja wametoa tangazo la kazi kule chuo cha udom,sasa kuna mdau ameniomba ushauri kwamba je atume maombi ya kazi au aachane nao,mana amesoma post nyingi zinazohusu udom kwamba kuna udin kwahiyo anapata kigugumizi cha kupost
gazeti gani!!
 
Leo gazeti moja wametoa tangazo la kazi kule chuo cha UDOM, sasa kuna mdau ameniomba ushauri kwamba je atume maombi ya kazi au aachane nao, mana amesoma post nyingi zinazohusu UDOM kwamba kuna udini kwahiyo anapata kigugumizi cha kupost.

Tuma tu acha uoga, usipende kuamini kila unalosikia
 
Yeye ni dini gani,na hao wanaopendelewa ni dini gani? Kama hajiamini aachane nao.
 
Sasa ndugu yangu wewe unashida na Kazi.....halafu unatanguliza vijisababu" ndugu chukua fursa twende zetu. Labda kama huna sifa za kuomba.
 
Mwambie asiombe ili anipunguzie wa kushindana nao aisee maana mi mwenyewe nina mpango wa kuomba hlo la udini litajulikana huko huko,
 
Back
Top Bottom